Recent content by kadyuwegeyeson

  1. kadyuwegeyeson

    JamiiForums Tanzania Je, hii simu niliyoinunua Amazon inaweza kusoma line za huku?

    Jamani habari ndugu? Nimenunua simu Amazon nikakimbilia bei nimekuja kungudua shinda wakati ikiwa imekwisha tumwa kuwa hii simu niyakampuni ya total wireless je, kwa hapa bongo inaweza kusoma laini za huku?
  2. kadyuwegeyeson

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo kufungua madai yangu NSSF

    Kazi rasmi
  3. kadyuwegeyeson

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo kufungua madai yangu NSSF

    Habari wadau Ninataka kwenda kufungua madai NSSF ya kuachishwa kazi. Je, inatakiwa nienda na nini ambayo vinaambatanishwa na fmu yangu ya madai maana ninafunga safari kwenda Ofisi za NSSF.
  4. kadyuwegeyeson

    JamiiForums Tanzania Ushauri kitaalamu

    Ninataka kupanda mahindi ya pannar pamoja na mbolea ya dAp ila mvua inasumbua Sana kunyesha je nikipanda na mvua ikakataa kwa muda je mahindi niliyopanda na mbolea yanaweza kuota Kweli??
  5. kadyuwegeyeson

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe adhalilisha vyama vyote vya upinzani nchini, adai havistahili kupewa haki ya kunadi wagombea wao

    Jamani Mbona nimesikilizia mwanzo mwisho ila Hayo maneno sijayasiki jamani
  6. kadyuwegeyeson

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akiwa Sirari

    Ni yeye
  7. kadyuwegeyeson

    JamiiForums Tanzania GE2020 Unapomwita binadamu mwenzako Msukule mbele ya vyombo vya habari unataka Taifa ligawanyike upate nini?

    Mungu mwacheni aitwe mungu #historia inavunjwa
  8. kadyuwegeyeson

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais Wa CCM Zanzibar Hussein Mwinyi Ashindwa Kutokea Kwenye Kampeni Bububu

    Sisiem mwaka huu itakubali yenyewe
  9. kadyuwegeyeson

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu anazidi kuumbuka, kila hoja anayoanzisha inaonekana haina mashiko kwa Watanzania

    Tundu lissu anasema rafiki Pekee wa magufuli ni mrithi wa nguruzinza inamaana hujaelewa wapi sasa?
Back
Top Bottom