Recent content by kadinali JM

  1. kadinali JM

    JamiiForums Tanzania Dunia nzima ipo katika hali ya kupanic but he is kidding!

    Duu!! Faza bwana!!!! Hatareee!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kadinali JM

    JamiiForums Tanzania Viatu classic (mtumba)

    Haya maviatu ya namna hii unavitoa wapi mkuu? Ni Mimi tu ndio sivielewiiiiiiii! au? mbona mirangi rangi kibao, Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kadinali JM

    JamiiForums Tanzania Tunauza nguo za kiume

    Mnapatikana fremu za underground au fremu za juu? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kadinali JM

    JamiiForums Tanzania Connection! Unaweza kazi ya ukonda?

    Tripu ya kwanza orodhesha vitu kwenye karatasi, ili uwe unawasomea mpaka uzee
  5. kadinali JM

    JamiiForums Tanzania Mnawaita weupe "mabeberu" wanatulia, Tujifunze ku balance na kuheshimu utu wa watu wote, weusi kwa weupe

    Halafu hili neno beberu/ mabeberu lilivuma zaidi awamu hii ya tano hasa baada ya kabudi kupewa uwaziri, yeye ndio bingwa wa kuwaita mataifa yaliyoendelea mabeberu, sijui akiendaga ulaya na marekani bado anawaita hukohuko au anakausha, akirudi tz anawachana mbele ya bosi, kabudi bwana,
  6. kadinali JM

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari unapotoa pesa kwenye ATM, na kwa wakala, tapeli akamatwa na kadi 23 za benki

    Huenda alishawahi kuwa mtumishi wa benki, maana kwa akili hiyo na umri wake kama Hakuna watu wanaomtumia basi ana akili sana, yaani kawaza sana, hiyo sio akili ya kawaida kwa wasichana wa kitanzania wa umri huo
  7. kadinali JM

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mirija ya Uzazi kuziba: Changamoto na tiba yake

    Ziltan, Nitafute
  8. kadinali JM

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na online shopping Kama Kikuu

    Ni on line pekee, ofjsi yao ipo shoppers plaza ila hawauzi kitu chochote pale, mimi binafsi nimefika wakaniambia bidhaa zao wanauza online tu, ukinunua bidhaa zao unasubiri ndani ya Siku 15
  9. kadinali JM

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2018. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 4.96 kutoka mwaka 2017

    Mtoto akipata average ya C ataenda secondari? Au ndio imekula kwake?
  10. kadinali JM

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Mo Dewji: Aliyepokea zawadi ya bilioni moja soon or later atajulikana

    Imebidi nicheke kwa hasira
  11. kadinali JM

    JamiiForums Tanzania Kama una flash iliyoharibika kuna njia 3 za kuirudisha flash yako

    Sijakupata vizuri mkuu, kwa mfano nina flash ya GB 8 nimeweka movie kama sita yaani hizi tunazoita season, sasa kila nikiplay yakwanza inaplay mpaka katikati halafu inagoma, zingine ndio hazi chezi kabisa na na dukani muuzaji kanihakikishia kama ni OG na feki yake kanionyesha, sasa hapo ndio sielewi
  12. kadinali JM

    JamiiForums Tanzania Kama una flash iliyoharibika kuna njia 3 za kuirudisha flash yako

    Na ninawezaje kugundua flash original na feki kwa kutumia pc
  13. kadinali JM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichokikuta ukweni imebidi nimsamehe mume wangu

    Na asipohudumia ukoo mzima anafanywa nini
Back
Top Bottom