Dunia nzima ipo katika hali ya kupanic but he is kidding!

Dunia nzima ipo katika hali ya kupanic but he is kidding!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,923
Reaction score
95,765
.
Screenshot_20200313-124139-picsay.jpeg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ma video vixen wajue wanaonekana ikulu.
Waache kuvaa vichupi angalau wavae magauni kwenye video.




Mungu atuepushe na Corona.
 
Lugha ngumu sana.

Lakini, tutachukua tahadhari kushinda wengine waliokwenda?

Mwanadamu unaposhindwa kitu, ujue hilo tumtupie Mungu ili atunusuru Tz, Africa na Dunia nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom