Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ameitisha kikao na Makampuni ya Simu ya VODACOM, AIRTEL, YAS, HALOTEL na TTCL ili kuweza kujadili uhalifu wa mitandaoni unaotumia namba za simu ikiwemo ule utapeli wa simu wanazopokea hata baadhi ya wazazi akiambiwa mtoto wako anaumwa na aina...
Gloria Steinem, mwanaharakati nguli wa haki za wanawake na mwandishi wa habari nchini Marekani, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 92 nyumbani kwake jijini New York. Kifo chake kilitokea kwa amani Alhamisi asubuhi akiwa amezungukwa na watu wake wa karibu, baada ya kutumia takriban karne...
Staa mwenye Bongo Fleva yake, Harmonize kwenye Exclusive Interview na AMPLIFAYA ya CloudsFM, ameeleza wazi kwamba aliachana na Mchumba wake Mwigizaji Kajala miezi mitatu iliyopita na kwamba sio jambo analojivunia ndiyo maana amekuwa kimya.
Konde Boy ameongea haya wakati wa mahojiano hayo...
Nyuki ni mkali lakini asali yake ni tamu.
Katika jamii inajulikana kuwa nyuki ni mkali lakini ukali wake huzidi zaidi unapomfata kwenye makazi yake, atakushambulia pia atakuacha na uvimbe pamoja na maumivu mwili mzima.
lakini kuna baadhi ya watu wanasema kuwa licha ya ukali wa nyuki lakini...
Siasa nchini Morocco zimeingia kwenye joto kali kufuatia majibizano na tuhuma nzito kati ya vyama vya serikali ya muungano kabla ya uzinduzi rasmi wa kampeni za uchaguzi wa bunge unaotarajiwa kufanyika Septemba 23, 2026. Mvutano huo umeongezeka zaidi kufuatia kuvuja kwa sauti iliyoanika migogoro...
Matukio ya ukatili wa kingono yanaendelea kuripotiwa nchini huku baadhi ya kesi zikihusisha watoto wadogo.
Leo, Septemba 2,2026, jeshi la polisi mkoa wa Mbeya limetangaza kumkamata kijana mwenye miaka 21 anayeshukiwa kumlawiti mtoto wa kiume mwenye miaka 6 katika wilaya ya Mbarali. Kwamujibu wa...
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa mbalimbali za watu wanaoripotiwa kufariki kwa kujiua, huku sababu zinazotajwa zikitofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine kama msongo wa mawazo na changamoto za maisha, Afya ya akili, migogoro ya mahusiano na familia, magonjwa na changamoto za...
Watoto nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wamerejea shuleni huku hofu kubwa ikitanda miongoni mwa wazazi na walimu kutokana na mlipuko mbaya zaidi wa kirusi cha Ebola cha Bundibugyo, ambacho hadi sasa hakina chanjo wala matibabu maalum. Mlipuko huo tayari umesababisha vifo vya watu...
Serikali ya Singapore imetangaza mpango kabambe wa kutoa msaada wa kifedha wa karibu dola za Singapore S$70,000 (kadirio la US$55,000) kwa kila mtoto kuanzia kuzaliwa hadi kufikisha umri wa miaka 17. Hatua hii inalenga kukabiliana na janga la kuporomoka kwa kiwango cha uzazi nchini humo, ambacho...
Katika jamii nyingi, suala la kutopata mtoto limekuwa likihusishwa zaidi na wanawake, jambo ambalo limeendelea kuwa chanzo cha lawama, presha na unyanyapaa kwa wanawake wanaochelewa kupata watoto au wasioweza kupata kabisa.
Mjadala huu umeibua hoja kwamba suala la kupata mtoto linawahusu...
Maneno maarufu ya kibwagizo cha wimbo wa zamani wa Ottu Jazz, “Nakupa talaka kwa shingo upande…” yaliyompata mwimbaji TX William Moshi, leo yanadhihirika kuwa halisi iliyotawala familia nyingi nchini Tanzania.
Takwimu mpya kutoka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita) za mwaka 2025...
Manka Chuga, ambaye amekuwa akijulikana mitandaoni kwa kuonyesha ujasiri wake wa kunywa pombe kwa kiasi kikubwa, ametangaza kuacha matumizi ya pombe na sasa anaomba msaada wa kiafya.
Kupitia ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii, Manka amesema "Naomba radhi kwa watanzania wote wakubwa kwa...
Imeelezwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi aliyepita, George Simbachawene, hausiki na wala hana akaunti yoyote katika Mtandao wa kijamii wa X (Twitter), hivyo Umma unapaswa kupuuza akaunti hiyo.
Wananchi na Umma kwa ujumla umetakiwa kupuuza maoni au taarifa zozote zile zinazochapishwa...
Habari wanaJF
leo nikiwa katika daladala za Buza-Kawe kunatukio limetokea nimeona sio sawa ,
kuna dada alikuwa anataka kushuka kwenye kituo anachotaka kushuka sasa alikuwa bado anadai chenji kwa konda ameanza kumdai kabla ya kufika katika kituo anachotaka kushuka yule konda akawa anamjibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.