Harmonize akiri kuachana na Kajala

Harmonize akiri kuachana na Kajala

Kadhakan

Senior Member
Joined
Jul 20, 2026
Posts
126
Reaction score
199
Staa mwenye Bongo Fleva yake, Harmonize kwenye Exclusive Interview na AMPLIFAYA ya CloudsFM, ameeleza wazi kwamba aliachana na Mchumba wake Mwigizaji Kajala miezi mitatu iliyopita na kwamba sio jambo analojivunia ndiyo maana amekuwa kimya.

Konde Boy ameongea haya wakati wa mahojiano hayo EXCLUSIVE yaliyofanyika kwa ajili ya kuipokea album yake mpya iitwayo ‘31’ ambayo ameiachia usiku wa kuamkia leo.

Je, itakuwa X harudiwi au X hana talaka?

Staa mwenye Bongofleva yake, Konde wa ‘31’ @harmonize_tz kwenye Exclusive Interview na AMPLIFAYA ya CloudsFM, ameeleza wazi kwamba aliachana na Mchumba wake Mwigizaji Kajala miezi mitatu iliyopita na kwamba sio jambo analojivunia ndiyo maana amekuwa kimya.

Konde Boy ameongea haya wakati wa mahojiano hayo EXCLUSIVE yaliyofanyika kwa ajili ya kuipokea album yake mpya iitwayo ‘31’ ambayo ameiachia usiku wa kuamkia leo.

Je, itakuwa X harudiwi au X hana talaka?

Hako majamaa kajinga sana,wanaume wa Dar hebu Katie makwenzi kana wa dhalilisha.
 
Staa mwenye Bongo Fleva yake, Harmonize kwenye Exclusive Interview na AMPLIFAYA ya CloudsFM, ameeleza wazi kwamba aliachana na Mchumba wake Mwigizaji Kajala miezi mitatu iliyopita na kwamba sio jambo analojivunia ndiyo maana amekuwa kimya.

Konde Boy ameongea haya wakati wa mahojiano hayo EXCLUSIVE yaliyofanyika kwa ajili ya kuipokea album yake mpya iitwayo ‘31’ ambayo ameiachia usiku wa kuamkia leo.

Je, itakuwa X harudiwi au X hana talaka?

HuYu MSHenzi hawezi ongea kiswahili akanyooka...
Pumbavu hili...
Hivi unawezaje hoji mtu ka huyu...!?
 
Back
Top Bottom