Habari wanaJF
leo nikiwa katika daladala za Buza-Kawe kunatukio limetokea nimeona sio sawa ,
kuna dada alikuwa anataka kushuka kwenye kituo anachotaka kushuka sasa alikuwa bado anadai chenji kwa konda ameanza kumdai kabla ya kufika katika kituo anachotaka kushuka yule konda akawa anamjibu kwani si usuburi nitakupa mpaka anafika kwenye hicho kituo anamwambia shuka nitakupa chini yule dada akawa anagoma baadae akakubali baada ya kushuka yule konda sasa anamwambia mi sina chenji bhana alafu anamwambia dereva tuondoke ikabidi yule dada aanze kukimbiza gari lakini hakufanikiwa kurudishiwa chenji yake.
Sasa kwanini amwambie atampa alafu baadae anamwambia sina chenji kwani alishindwa kuomba chenji kwa abiria wengine?
Au nyinyi mnaonaje kwenye hili?