Recent content by Kachumbi

  1. Kachumbi

    Natamani kuona Polisi wakienda kulinda amani mataifa ya nje (Peacekeeping)

    Naona huyu anazungumzia kitu ambachao hakijui,lakin inaonekana nae ni mhusika anatafuta pakusemea ,tatzo hajui kama huwa wanaenda au la, kama hujapata nafas endelea kuvuta subila ila ukumbuke ni za wachache.Jibu ni kwamba huwa wanaenda na wengine wapo huko.
  2. Kachumbi

    Walimu kutoka sekondari kwenda shule ya msingi

    Kukosa bila kuonyesha usahihi wa maneno ni sawa na mjinga anayesema najua kumbe hajui, kuna watu ambao wapo kwa ajili ya kuona hoja ya msingi,na kuna ambao wapo kwa ajili ya kuona mapungufu,jione uko kundi lipi.Kwa kukusaidia ni kwamba baadhi ya lugha tumejifunzia ukubwani,usfkiri tunakosea...
  3. Kachumbi

    Walimu kutoka sekondari kwenda shule ya msingi

    Hili zoezi limeleta uzalilishaji wa walimu,kwenye jamii wameonekana ni watu ambao hawafai kufundisha sekondari,hawajui kiingereza na ni wakorofi.Kibaya zaidi wakuu walitanguliza kuteuwa wale ambao hawako sawa na interest zao,katika upendekezaji wao hawakujali uwezo wa mwalimu ,kuna walimu...
  4. Kachumbi

    Madaraja kwa watumishi

    Naona ukimiya wa watumishi kuhusu madaraja,serikal ilihaidi mwezi 11/2017 kwamba italipa,mpaka leo hii kimiya,labda ni kwa baadhi ya mikoa,vp huko mlipo mmerekebishiwa au ni suala la kisiasa !!
  5. Kachumbi

    Madaraja ya mishahara

    Naona watumishi wameamukuwa kimiya suala madaraja,serikali ilihaidi kulipa mwezi wa 11/2017,mpaka leo hii bila bila,labda kwa baadhi ya mikoa,hakieleweki kinachoendelea,au siasa !!!
  6. Kachumbi

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nipo Wilaya ya nyamagana kata ya Butimba,hv karibun umeme umakatwa bila hataa taarifa,ni kama vile mgao ambao haujatolewa taarifa yeyote, Watenda wa siku hizi wanashindwa kusema ata kama kuna tatzo,Wanamuogopa mkuu, kwa taarifa tunaomba mkuu usikie kilio chetu,umeme unakwa hovyo hovyo,nasema ukweli.
  7. Kachumbi

    Vitabu vipya vya TIE na hatma ya Tanzania

    Watumishi wa taasisi hizo wamekuwa wakiteuliwa kwa kujuana,mtu anaetakiwa kuanda mtaala au kitabu lazma awe competent ,kwetu huku wanateuliwa kwa connection,kwanini huyu mtu ascopy na ku pest, tuna tatzo kubwa katika uteuzi wa wataalam
  8. Kachumbi

    Rais Magufuli, unazijua hasira zetu watumishi?

    Kweli watumishi wamenyimwa haki zao,hata vyama vya utetezi navyo vipo kimiya,vinazungumzia habari za mwaka fedha unaokuja wakati kuna increment ya kisheria haijaonekana,madaraja ya waliopandishwa na kupewa mwenz mmoja mshahara baada ya hapo wakakata kwa kuambiwa watarekebisha baada ya miezi...
  9. Kachumbi

    Tanzania ya Ajabu Kweli, Is it fair kutumia Humanitarian Support, Kujengea Miundombinu ya Umma?!.

    Ambacho naona angeruhusu watu wakapeleka michango wenyewe kwa wahuska moja kwa moja kutokana na walivyiguswa,ila ina hila na mbinu chafu,ilapanga kujipunguzia majukumu,kutumia waathrika ili kupata hela,istoshe imeombwa ata kupunguza gharama za vifaa vya ujenz,serikali imepuuzia ! Serikali imetia...
  10. Kachumbi

    DStv yashusha bei za vifurushi, yajaza chaneli

    Hizo mbinu za kibiashara,DSTV huwa inaenda kutegemea n soko likoje,dora ikipanda na vifurushi navyo vinapanda,na kizuri ukiisha nunua kaz kwako,kugharamia au kutogharamia !
  11. Kachumbi

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Wewe si mkatoliki, kwa namna ulivyoandika unajionyesha ww si mkatoliki mbali ni mnafiki na mchonganishi
  12. Kachumbi

    Mashindano ya under 20 za vijana wa timu zilizo ligi kuu

    Waandishi wengi hawatoi taarfa kuhusiana na michezo za vijana hawa,kuongelea ata vipaji,namna ya kuwaendeleza,waandishi wa michezo ni wakwanza kulalamika kuwa timu zetu haziwekezi kwenye soka la vijana,angalia wanavyopewa promo ndogo,hawatiwi moyo na waandishi wetu,waandishi badirikeni musiwe...
  13. Kachumbi

    Mungu wa Rais wetu ni Yupi?

    Sijwai kuona rais anayetafuta kila namna ya kugandamiza wafanyakazi wake,alafu yy haongezi maslai,anaongeza tu aslimia,wakipeleka miswada ni kusaini tu.watu kweli wamechoka
  14. Kachumbi

    Serikali ichunguze wafanyakaz wa kivuko cha kigongo -busisi

    Huu ukurasa unasaidia,juz nimekuta mabadriko makubwa,wameanza kuweka chenji
  15. Kachumbi

    Zitto: Muswada wa Huduma za Habari(Media Services Bill 2016) ni HATARI

    Watu ni kulalamika tu ila kinacholalamikiwa wengi hamjui,siasa tu,kabwe mnamuona ndo msaafu wenu badala kusoma wenyewe na kuweka dosari,Tanzania bado,wacha tutembee hivyo hivyo
Back
Top Bottom