Serikali ichunguze wafanyakaz wa kivuko cha kigongo -busisi

Serikali ichunguze wafanyakaz wa kivuko cha kigongo -busisi

Kachumbi

Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
70
Reaction score
30
Ubanaji wa njia za kupiga hela kumefanya watumishi wa serikal kubuni mbinu mpya ya kupata hela,wafanyakaz wakifuko hicho wanaokatisha tiket wamekuwa na tabia ya kutorudisha chenji kisa hawana shilingi mia,mezà yao wamejaza mia mbili tu,na wanaweke uone kabsa kuna mia mbili na mia(100) hamna,je kama watu elfu 3 wanapita bila kuchukuwa chenji yao ni shilingi ngap zinabaki hazpo kwenye malipo maalum,kwa namna mazingira yalivyo,wasafir kuwai feri,huku nyuma pakiwepo folen wanalazmika kuondoka bila kupata chenji zao,ni wajbu wa nani kutafuta chenji ? Istoshe naul ya kivuko ni 400,lazma 100 ziwe za kutosha kukidhi mahitaji ya chenji,Naomba serikali iliangalie hili,hii sehem ya kufksha ujumbe,
 
Huu ukurasa unasaidia,juz nimekuta mabadriko makubwa,wameanza kuweka chenji
 
Sasa chenji ya mia ndio unatumia MB zako humu kweli? Ila kwa magari madogo wanatukomoa sana, wanaingiza maroli kwanza.
 
Back
Top Bottom