Mungu wa Rais wetu ni Yupi?

Mungu wa Rais wetu ni Yupi?

Mungu wake ni yule yule Mungu WA Ibrahimu,, Mungu wa Isaka na Yakobo,,

Na hata anapowaambia Watanzania Mniombee anamanisha tumwombee kwa Mungu huyu YEHOVA,, si mwingine.

Hali hii mnayo lalamika hakuisababisha yeye anayepaswa kulaumiwa ni Mtangulizi wake hakumwachia kitu.

Zidisheni maombi tumwombee Rais wetu tutoke kwenye hili dimbwi LA UFISADI tulimo kwamishwa na yule Mtangulizi wake.
Sawa ngoja tuzidi kujipa muda tuone
 
Habarini za jioni wanaJF,poleni na majukumu ya kila iitwayo Leo.
Nimepitia comments nyingi zimuhusuzo Raisi wetu Ndgu.Pombe John,hakika watu wameonyesha hasira za dhahiri kwa kuchoshwa na uongozi wake.
Wengine wamefikia kutamani bora waishi kama Palestine kwenye vurugu na vita kuliko Tanzania.
Nachelea kuuliza je, Mungu wa Raisi wetu ndiye Huyuhuyu tumuabudiaye? Na mbona watu wa rika na kada zote wamlalamikie Raisi wetu yeye haoni tatzo hilo.?
Je,wewe una maoni gani kuhusu uongozi na maamuzi yake kwa ujumla?
RC wetu Mh. Makonda alisema hua yeye akisimama basi anakua mungu, sasa nikiunga dots na swali lako hapa basi jibu linakuja lenyewe tu bila hata kuumiza kichwa
 
RC wetu Mh. Makonda alisema hua yeye akisimama basi anakua mungu, sasa nikiunga dots na swali lako hapa basi jibu linakuja lenyewe tu bila hata kuumiza kichwa
Bado umeweka fumbo
 
Ningeshafikisha milion 7 za kulipa ila hii vat ya kwenye vocha imenipunguzia ila najisikia kutukana jaman ila sasa hapa nina buki 5 tu tu, ila we mwache tu huyu jamaa mungu wetu anamuona
 
Sijwai kuona rais anayetafuta kila namna ya kugandamiza wafanyakazi wake,alafu yy haongezi maslai,anaongeza tu aslimia,wakipeleka miswada ni kusaini tu.watu kweli wamechoka
 
Back
Top Bottom