Kachumbi
Member
- Aug 26, 2014
- 70
- 30
Hili zoezi limeleta uzalilishaji wa walimu,kwenye jamii wameonekana ni watu ambao hawafai kufundisha sekondari,hawajui kiingereza na ni wakorofi.Kibaya zaidi wakuu walitanguliza kuteuwa wale ambao hawako sawa na interest zao,katika upendekezaji wao hawakujali uwezo wa mwalimu ,kuna walimu hawana uwezo kufundisha sekondar wengi wao wamebakia sababu ya kuwa n interest n mkuu wa shule,wengi wao huwa hawaoji, sasa wenzangu na tunaochimba chimba ndo tumetupwa shule ya msingi, Taifa linatengeneza mfumo mbaya,kisaikolojia hao walio shushwa hawapo vizuri,na walio wapokea wana mtazamo mbaya kwao. Baadh sekondar zimebaki na walimu ambao hawana uwezo. Pia umekuwa uhamisho ambao hauna malipo wakati waraka unatolewa ulisema walipwe.Kikikubwa wanashushwa huko bila kupewa semina ya kufundisha hao watoto.Wachin wanatekeleza kauli ya wakubwa.Yawezekana lengo zuri Ila utekelezaji wake si mzuri.