Recent content by Kachocho T.K

  1. K

    Madaktari: Hakuna anayerudi kazini kesho!

    Tumewazoea kutumia ubabe kwenye kasuala yanayohitaji busara na majadiliano lakini kwa hili pm katokota
  2. K

    Wabunge na mswada wa katiba mpya

    Wiki iliyopita nilikuwa nafuatalia mjadala wa mswada wa uundwaji wa katiba mpya ya amuhuri ya muungano wa Tanzania, uliojadiliwa bungeni kwa zaidi ya vikao vitatu mfululizo. Baada ya upinzani hasa peeeples na NCCR kuona ni usanii na kuamua kuususia mjadala wabunge wa chama kile pamoja na...
  3. K

    Udhibiti wa uvushaji wa sukari na mazao mengine kagera.

    siku chache zilizopita waziri mkuu alisikika akiongelea suala la kupanda bei kwa sukari na mazao mengine kama mchele, mahindi na maharage kuwa sababu kubwa ni biashara ya magendo inayofanywa na wafanya biashara haramu, wanavusha biashara hii nje ya nchi. Waziri aliagiza jeshi la polisi...
  4. K

    Nimeshangaa usiku huu na habari za ITV

    Mpendwa hawa jamaa wameishiwa, ukweli ni kwamba ukiangalia umati unaowasikiliza utawahurumia. Ndo maana hata wanaogopa kuonyesha umati wa chadema. wanaonyesha sehemu ya jukwaa na mahali walipo watoto. Sina imani km ITV inapaswa kuitwa media institution
  5. K

    Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

    Mwache aende akatangaze CCJ kwani nani asiyemjua kuwa yeye si sisiem bali yuko ki mwil na si kiroho
  6. K

    Siku ya mtoto wa Afrika (International Day of the African Child) - June 16

    TAARIFA YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA Kila mwaka tarehe 16/6 watoto wote Afrika huadhimisha siku ya mtoto wa afrika ikiwa ni Sehemu ya kumbukumbu ya kuwakumbuka watoto wenzetu waliouawa kikatiri huko Soweto Afrika kusini walipokuwa wakiandamana kwa amani kupinga utawala wa kibaguzi uliokuwa...
  7. K

    V.Nyerere akataa kuchangia Mafuta ya Mwenge

    Huu mwenge naona hauzungushwi kwa lia ya kuhamasisha maendeleo bali ni sehemu ya chama tawala kuendelea kujitafutia umaarufu kwa watu ili wawatafutie ajira zisizo rasmi. Jiulize ni mamilioni mangapi yanaenda kwenye posho na mafuta ya watembeza mwenge kama hiyo pesa ingechangishwa na kubaki ndani...
  8. K

    Sekretariati ya CCM ziarani Sumbawanga: Nape aongoza Ujumbe

    Wale alioambatana nao wawe makini make wanaweza kuumbuka kwani anaweza kuingiza sera za CCJ badala ya zile zilizopitwa na wakati za CCM, make anaonekana kutotulia kama anapeleka agenda za CDM badala ya kuwaambia wananchi ilani na mwelekeo wa chama chake.
  9. K

    Makamba: Msifadhaike!

    kwa wale waliofuatilia mchakato wa cha chama chao wa kujivua gamba na kuzaliwa upya ulioambatana na vikao muhimu viwili yaani CC na NEC ambapo tulishuhudia secretariet ya chama chao iliamua kujuuzulu. Wakati katibu mkuu wa chama hicho bwana yusufu makamba alipokubali kuachia ngoma hiyo ambayo...
  10. K

    Pinda kashindwa kutoa tamko la serikali kuhusu bei ya sukari kagera

    Pamoja na kuwepo watu kiduchu waliohudhuria mkutano wa waziri mkuu uliofanyika wiki iliyopita kwenye viwanja vya uhuru platform mjini Bukoba, maarufu kama mayunga, Bwana pinda alishindwa kutoa tamko la serikali kuhusu bei halisi ya sukari. Wananchi wakiwa wapweke na kuonekana kama wako sehemu ya...
  11. K

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Big Up Man, man bado tuko pamoja nawewe. Tunamiss mavitus yako majukwaani ndo maana tunakuandikia umuhimu wa kuwepo kwako majukwaani. We hope your mother will improve soon. Tuko pamoja na wewe na majibu yako yanatia matumaini kuwa tuko pamoja
  12. K

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Uguza pole kamanda kamanda. we expect much from you. lakini mama akipona basi tuunge mkono kwenye ziara zijazo ili ufute rumous ya kuwa wewe ni kibaraka wa chama cha wenyewe. any we still have trust in you man keep it up. peeeeeeeepleeeeeeeeeeees
  13. K

    Fikra mgando

    Baada ya watanzania kuelekea kukombolewa na CHADEMA basi wapambe na wapambanaji wenye tambala jeusi machoni, wameanza kusema eti CHADEMA inataka kuleta vita na kuvunji amani. Kuna kosa gani wananchi kujua vitendo viovu na ukandamizaji hasa kwa wanyonge unaofanywa na serikali ikiwemo kupanda kwa...
  14. K

    Chadema ndani ya Bukoba

    Hakika saa ya ukombozi ni sasa. Aliyekuwepo jana uwanja wa uhuru ameona kuwa sasa kilichobaki ni kuanza kuchimba kaburi na kukizika chanma cha majambazi. peeeeeeeeeeeeeeeepleeeeeeeeeeeeeeeeees?
Back
Top Bottom