Fikra mgando | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fikra mgando

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachocho T.K, Mar 3, 2011.

 1. K

  Kachocho T.K Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Baada ya watanzania kuelekea kukombolewa na CHADEMA basi wapambe na wapambanaji wenye tambala jeusi machoni, wameanza kusema eti CHADEMA inataka kuleta vita na kuvunji amani. Kuna kosa gani wananchi kujua vitendo viovu na ukandamizaji hasa kwa wanyonge unaofanywa na serikali ikiwemo kupanda kwa bidhaa muhimu na gharama nyingine za maisha kwa mtanzania wa kawaida?
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kaka nakuunga Mkono kama huyu WAssira nadhani anahofia mkate wake wa kila siku eti anasema vita kama vya Uganda ndo Chadema wanataka kuleta, huu ni upuuzi mtupu na ujinga.
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Wanazibiwa ulaji si unajua watu wanalinda mikate yao ya kila siku. ila tunazidi kuwaelewa.
   
 4. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  nyie mnapenda kukosoa ila kukosolewa hamtaki kwani nyie malaika?
   
Loading...