Kobelo ubadilike banaaa hata Vietnam nako wamebadilika. Sasa wewe bado fikra zako ni za mwenyekiti Ho Chi Minh......
Unayo sababu gani ya kujivunia na Magamba for the time being? .............au....Mgawo wa umeme, ufisadi, safari za kwenda nje ya nchi zisizoisha, wizi wa mali asili na mali ya uma, semina elekezi, ahadi 98 za kampeni ambazo hazitekelezeki, rushwa, nchi kuuzwa, Kuuza Sura Saigon, Dowans, EPA, Tanesco, ATC, TRC, RITES, RADAR, hebu nieleze una nini cha kujivunia na magamba mkuu Kobello?????????? Labda una biashara ya mishumaa, koroboi na mafuta ya taa sasa imechanganya kutokana na mgawo sasa mwenzetu unafaidika na mgawo