Recent content by KABUKANOGE

  1. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa: Usahaulifu na hadithi za kusadikika

    Amakweli tumekwisha, yaani mtumzima unaamua kuuza hata akili ya mwisho, Lowassa hatakuwa raisi wa Tanzania na kama unajidaganya subiri 2015,fisadi mkubwa nani ampekura yake?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Lets see and wait...time wil tel....

    Una to....................m.............................bw...............................................................................................................................................a
  3. K

    JamiiForums Tanzania Daraja la Mbutu kujengwa na wakandarasi wazalendo!

    Hivi daraja la kigamboni ujenzi umeanza? maana haya mambo siyo ya kuchekelea kama mwehu na mimi ni mkazi wa Tabora, kuna mikataba mingi yamiaka na miaka, kama ujenzi wa barabara kutoka singida to Tabora, Maji toka Mwanza tunasikia mikataba kila siku, na leo nimemsikia EL akijagamba, eti ardhi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ccm oyee

    Mwenzio ni mkazamwana wa Lowassa na wewe unamkaza mwana wa nani?, maana siku hizi mpaka uwe na nafasi ya kuwa mkazamwana wa kigogo na hapo ndipo upewe nafasi, mimi bado najiuliza hivi huyu jamaa ambae hata kura alikuwa anapigia Kawe amekuwa na uchungu wa watu wa Meru tangu lini?, ila kwavile...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ccm oyee

    Mh, jamaa hata macho yanaonekana kama ya jambazi vile, ila poa Wameru wameambiwa eti wakimchagua mkazamwana wa Lowassa ndio watapewa arthi na kupatiwa maji katika jimbo lao, ila wakikataa basi, na wabongo tunavyoogopa mtu mwenye kitambi kama mkapa ni full kushangilia, ila watu wangu wanaangamia...
  6. K

    JamiiForums Tanzania (PICHA) Lowassa atua Arumeru kwa kishindo: Chadema waparaganyika

    Hivi hao vijana wanao mfuata Lowassa wanatumaini lipi? mh! ukiwa masikini utaona kila mtu anweza kuwa mkombozi hata kama mtu mwenyewe ni jambazi, hii ni dalili ya vijana kuchanganyikiwa na kushindwa kuelewa nani anaweza kuwa mkombozi wao, hakika hili nalo ni bomu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jamani vipi wale vibaraka wanaojiita wanaharakati

    Mara baada ya mgomo wa madactari kugoma ile mara ya pili walijitokeza, baadhi ya vibaraka na kujiita wanaharakati wazalendo na kusema eti wanafungua kesi dhidi ya maprofessional, so hii kitu iliishia wapi,naomba mwenye taarifa ya kinachoendelea atupie hapa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kasumba ya Usultani tuachane nayo

    Watanzania tumeingiwa na uvivu wa kufikiri, ukimwambia mtu tatizo, yeye anakimbilia, kusema he! mbona na kwafulani tatizo hili lipo, jamani hii maada ni muhimu sana ukisema eti wanakubalika, kwani nani hajui jinsi rushwa inavyotawala chaguzi zetu, na kutangazwa ambaye hajashinda?, jana...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliopendekezwa kugombea EAC kutoka CCM

    Niliongea jana nikatukananwa kwenye hii tabia inayoanza kuchipa wa kurithishana uongozi wakati waarabu sasa unawatesa, ila sisi tumeona ndiyo dili, ukweli ni kwamba hiitabia tunayoanza sasa itakuja kulitesa taifa, huo ni ukweli
  10. K

    JamiiForums Tanzania William Malecela ndani ya kamati kuu; tumuombee wadau

    Waarabu wanakimbia kutoka katika mambo ya baba-mama-mtoto, sisi ndio tunakimbilia huko, alafu mtu akisema eti haa kilamtua anahaki ya kujaza fomu, then ikabe proved nanani? kama sio baba zao na marafiki zao? sitaki kuegemea upande wowote ila hii tabia itakuja kutufikisha pabaya bado mapema ila...
  11. K

    JamiiForums Tanzania William Malecela ndani ya kamati kuu; tumuombee wadau

    Tumechoka kurithishana madaraka, maana tunajenga msingi mubovu amba unaweza kutugarimu vibaya hapo baadae au sisi tukipona unaweza kuliangamiza taifa lijalo. Kwahiyo; mimi sioni umuhimu wa kuendelea kukabidhi uongozi kwa watoto wa viongozi walewale, na hatawewe nakutahadharisha maana...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu wafuasi na wanachama wa CCM

    Du! kazi ipo
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu wafuasi na wanachama wa CCM

    Sina nia yangu ya kuwatukana watanzania wenzangu, ila penye ukweli lazima pawe wazi. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu siasa za Tanzania, na hatimae nikagundua kuwa si wanachama wa upinzani wala wale wa CCM wanaojua vilivyo nini lengo na itikadi ya chama chao, Kwa upande wa upinzani...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Lema kikaangoni

  15. K

    JamiiForums Tanzania CUF hali mbaya, wakutana makao makuu kujadili athari za kumfukuza Hamad Rashid

    Mkapa alimuua Nyerere
Back
Top Bottom