Recent content by Kabinti ka ludilo

  1. Kabinti ka ludilo

    Ukweli usemwe CHADEMA haitimizi majukumu yake kama chama kikuu cha upinzani nchini. Je, msaada wetu utatoka wapi?

    Niliwahi kuandika uzi tishio sana humu ndani kuhusu uwepo wa uhaini nyanda za juu kusini. Leo sitasema chochote ili uzi huu usifutwe kama ule nilikuwa nakumbusha tuu. Ilipo itishwa kura ya maoni watanzania wengi walichagua kuendelea kuwa na chama kimoja chama changu chama pinduzi CCM. Lakini...
  2. Kabinti ka ludilo

    Nipo huru sasa, nimeachiliwa na kurudi uraiani tena, nimemaliza adhabu niliyopewa na Mods (ban)

    Wamempiga ban nae mweee jaman hatimaye tumeshinda rest in hell
  3. Kabinti ka ludilo

    Nipo huru sasa, nimeachiliwa na kurudi uraiani tena, nimemaliza adhabu niliyopewa na Mods (ban)

    Kumbe tulikuwa wengi na mi niangalie ka id kangu labda nimerudi uraiani
  4. Kabinti ka ludilo

    2025 Nachagua Andazi, CCM Imenishinda

    Wanakatika wakati DJ amezima muziki
  5. Kabinti ka ludilo

    TRA wagoma kufungua ofisi Vingunguti

    Nimecheka sana basi tuu
  6. Kabinti ka ludilo

    Celine Dion on her son's wedding

    Celin aliishi kwa maadili sana. Umetupa presha na hivi nauli ya kufika canada hatuna....
  7. Kabinti ka ludilo

    Video: Mpina akiwasha tena Trilioni 2 za SGR, ataka mkandarasi atimuliwe

    Kuna msanii ni daktari aliimba wimbo wa mauongo sijui anaitwaga nani yule.
  8. Kabinti ka ludilo

    Tuambiane ukweli:Jee umezindika biashara yako?

    Wazindikaji wanapita tuu kusoma huu uzi haraf wanapita kimya kimya
  9. Kabinti ka ludilo

    Bifuu kubwa la Like [emoji106] or dislike [emoji107][emoji35]

    Ungeandika hupend dislike especialy ungekataja kale katoto kipenzi cha mods wangesha kupiga ban maana wamekuwa maadmin tuu siku hizi
  10. Kabinti ka ludilo

    Serikali imechelewa kulipa mshahara wa mwezi Mei

    Nshahara sahihi mshahara huko vyuoni mlijifunza ujinga?
Back
Top Bottom