Tawile mgangaKuna mjadala niliukuta mahali jana kuwa ni lazima kuzindika biashara na kwamba asilimia 90 ya biashara hapa bongo mfano wenye maduka huwa wanazindika biashara zao
Haya maneno sikuyaamini kwamba kila biashara au kila frem ninayoiona kila mmiliki keshatembea kidogo
Nikasema mbona ni asilimia kubwa sana?Maana kulingana na wanavyoongea ni kwamba ni jambo ambalo limekua kama la lazima hivi
Binafsi nikiri ukweli kuwa hata mimi nimefanya hivyo, japo maeneo niliyoweka frem hapana changamoto yoyote ila nilishauriwa na jamaa angu mmoja nifanye hivyo nikafanya lakini naona ni kawaida tu kwangu wala sioni maajabu yoyote ni miaka 2 sasa imepita
Swali kwa mnaomiliki biashara jee kuna ukweli?Jee umezindika biashara yako ili watu wasikuchezee au mambo ya chuma ulete?
Nimeshuhudia wengi waliosifika kwa kuzindika biashara zao zikifilisika, vibuyu na tunguli havikuweza kuinusuru biashara zao.Sijazindika na sitazindika ingawa nilipoanza biashara yangu watu walinifuata kunishauri nizindike kwasababu chuma ulete lile eneo ni wengi. Sikufanya hivyo na biashara yangu inaendelea kukua na haijatokea siku imepotea hela kimiujiza kwenye biashara yangu.
mimi nimezindika kazi yangu!!Kuna mjadala niliukuta mahali jana kuwa ni lazima kuzindika biashara na kwamba asilimia 90 ya biashara hapa bongo mfano wenye maduka huwa wanazindika biashara zao
Haya maneno sikuyaamini kwamba kila biashara au kila frem ninayoiona kila mmiliki keshatembea kidogo
Nikasema mbona ni asilimia kubwa sana?Maana kulingana na wanavyoongea ni kwamba ni jambo ambalo limekua kama la lazima hivi
Binafsi nikiri ukweli kuwa hata mimi nimefanya hivyo, japo maeneo niliyoweka frem hapana changamoto yoyote ila nilishauriwa na jamaa angu mmoja nifanye hivyo nikafanya lakini naona ni kawaida tu kwangu wala sioni maajabu yoyote ni miaka 2 sasa imepita
Swali kwa mnaomiliki biashara jee kuna ukweli?Jee umezindika biashara yako ili watu wasikuchezee au mambo ya chuma ulete?
Hupendi kuambiwa ukweli kwa Kuwa ni mmoja wa mliozindika😂Umeulizwa je, umezindika biashara yako? Wewe unaanza Ni Imani potofu, hajauliza Kama Ni Imani potofu.
FactSisi waafrica utaratibu ni huo...sio biashara tu hadi nyumba hadi watoto wanafanyiwa zindiko ni mila na desturi za enzi na enzi..
(hakuna familia yyte ya kiafrica ambayo aijapitia huko ni hizi dini za wazungu na waarabu ndio wanatubadilisha sasa)
Ingawa haigurantee kuwa utafanikiwa kwenye biashara yako bado maarifa ya biashara yananafsi kubwa kama huna hayo ni swala la muda tu unafirisika na kusingizia wachawi.
AiseeKuna wakati nilikabidhiwa sehemu yangu ya biashara baada ya mpangaji kufilisika
Nikaamua kufungua mwenyewe
Nilimtuma kijana afanye usafi kote, kumbe kulikuwa na mgogoro baina ya mke na mme na wakaamua kuondoa vitu kwa hasira
Kijana kanipigia simu anasema njoo uone haya mambo
Kulikuwa na vitu vya ajabu naona walikuwa sijui wanarogana wao kwa wao au ni mambo ya biashara
Dogo aliogopa kuvigusa nikampa ujasiri na kuvitoa vyote kwa mkono
Nikaviweka nje nikamwambia haya piga kiberiti yote
Nilifungua biashara yangu bila ushenzi huo na nikajaaliwa kuiendeleza
Kama ukiona watu wanapanda haraka haraka kwenye biashara wengi wao ni majizi wanaoshirikiana na wafanyakazi wa wholesalers
Nani kasema[emoji28]Huo ni ushamba,na upungufu wa matumizi ya akili,mchawi wa biashara yako ni wewe mwenyewe,unamhudumia mteja wako kwa nyudo na jeuri,au ukiwa mlevi,au kwa lugha chafu,au kwa kuto mjali halafu unaenda kwa mganga biashara ngumu [emoji848].Utakuwa mwehu wewe [emoji23]
SafiSijazindika na sitazindika ingawa nilipoanza biashara yangu watu walinifuata kunishauri nizindike kwasababu chuma ulete lile eneo ni wengi. Sikufanya hivyo na biashara yangu inaendelea kukua na haijatokea siku imepotea hela kimiujiza kwenye biashara yangu.
Hapo ulipozindika hapana changamoto ni kwa sababu wazee walishaona umepazindika, wanakuogopa.Kuna mjadala niliukuta mahali jana kuwa ni lazima kuzindika biashara na kwamba asilimia 90 ya biashara hapa bongo mfano wenye maduka huwa wanazindika biashara zao
Haya maneno sikuyaamini kwamba kila biashara au kila frem ninayoiona kila mmiliki keshatembea kidogo
Nikasema mbona ni asilimia kubwa sana?Maana kulingana na wanavyoongea ni kwamba ni jambo ambalo limekua kama la lazima hivi
Binafsi nikiri ukweli kuwa hata mimi nimefanya hivyo, japo maeneo niliyoweka frem hapana changamoto yoyote ila nilishauriwa na jamaa angu mmoja nifanye hivyo nikafanya lakini naona ni kawaida tu kwangu wala sioni maajabu yoyote ni miaka 2 sasa imepita
Swali kwa mnaomiliki biashara jee kuna ukweli?Jee umezindika biashara yako ili watu wasikuchezee au mambo ya chuma ulete?
Wengi wanaamini ushirikina MkuuAisee