Recent content by kabidoo

  1. K

    Ipo siku tutamwelewa na kumhitaji sana Tundu Lissu

    Very stupid ,,,,,mtu mwenye akili busara hawezi kuongea utoto kama huo.ungekuwa wewe ungekubali kipima bila rizaa yako. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    Sikujua kama kuna wasichana wa aina hii, kiukweli mshikaji kapata

    Lets shake hand my dear....siwezi kumfanyia ivo vitu mwanaume ambae siyo mume wangu kabisa hata ela tu sikupi boraa nikununulie shati uvae basiiiii Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
  3. K

    Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

    Unaakili sana kaka mwanaume kuomba ela kwa mkaka nu fedheha kubwa sanaaaaa. Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
  4. K

    Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

    Yaani nakuunga mkono kabisa kuomba ela mwanaume hapana kabisa,japo wenyewe siku hizi ndo waombaji wakubwa yan wananiuzi sana nina boyfriend na yeye kila kukicha ni kuomba ela tu na sijawahi kumpa ila hakomi.kama kuna kitu mwanaume ataniuzi mno ni kuniomba ela kwakwel Sent from my HUAWEI...
  5. K

    Mwanamke maskini katika mapenz hafai...muogopeni jamani

    Ila jaman hata bible inasema mungu hakuweka agano na masikini.kwavile ni rahisi sana kwa masikini kumsaliti
  6. K

    Uwapo faragha na mume/mke wa mtu.

    Mimi.siwez yan atakuwa amenikwaza sana mimi hata akipiga tu cm mbele yangu mimi nanuna,,,yan nataka kama unanipenda sana basi umwambie ma mkeo kuwa kuna mimk ili tuwe tunakaa roho juu wote
  7. K

    Nani kampa ruhusa Makondakta kuonyesha watoto hadharani?

    Nazani ww ndo hujaelewa apo mtoa mada yupo sahihi hata kama hakuwaleta yeye kwann awatangaze ivo hakuna sheria ya ivo hata weww mfano ukatangazwe mbele za watu kuwa unaukimwi siyo fair kabisaaaa maana hujui kesho ya hao watoto itakuwaje.makonda kichwani ni.zero
  8. K

    Naongea na nyie baadhi ya wanawake msiokuwa na haya wala staha

    Hizi mada mimi naona ni upuuzi mkubwa sana yan mara mume wa mtu mara mke wa mtu nazan ni maswali ya busara sana kujiuliza kwanini wanacheat? Mtapoteza muda kudili na matawi alaf unaacha shina.na kuna wanaume wengine wanaipenda iyo michepuko kuliko hata wake zao wapo razi kufanya lolote.acheni...
  9. K

    Matajiri wa mali ni rahisi sana kuingia mbiguni kuliko mafukara (makapuku)

    Upo sahihi kabisa hata ukisoma warumi kuna sehem kabisa inasema mungu hakuweka agano na masikini.kwa maana ukiweka agano na masikini ni rahisi sana kulubuniwa.ni wakati sasa watu wanatakiwa wasome biblia na kuielewa vzuri.hata yesu alifanya huduma kamilifu ya kiroho na kimwili sasa wahubiri...
  10. K

    Mchepuko wangu ni mtu wa vizinga

    Point kubwa sanaaaaa.ela huna baki tu na mkeo
  11. K

    Kutembea na mume wa mtu

    Wanawake wengi ujinga mwingiii hawaju kuhudumiwa waume zao kama unahudumia vzur nje atatoka? Kwanza ukitambulishwa unaongezeka nini kama cc tupo tunafanya maisha tena ya maendeleo ukute hata ww unaishi nyumba ya kupanga wenzio tunajenga tena kwa jina langu sasa apo nililie kutambulishwa ili...
  12. K

    Kutembea na mume wa mtu

    Wewe labda hao watoto wa secondary ila tu mdada anaejielewa harubuniwi kwa cm wanafanya vtu vya maana tena ambavyo hata mkewe afanyiwi kabisa na ukijua utazimia
  13. K

    Kutembea na mume wa mtu

    Hah hha yan.nimecheka hii comment angekuwa mke kwel asingetoka ila kwel
Back
Top Bottom