Kurugenzi ya Habari Ikulu mwambieni Rais haya kabla ya kulaumu vyombo vya habari

Kidogo chetu

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,432
992
Na Dotto Bulendu

Mh Rais John Magufuli,nakusalimia,pole na hongera kwa kazi unayoifanya katika nchi yetu kama amiri jeshi wa majeshi ya ulinzi na usalama!

Baada ya salama hizo,Mh Rais leo nimekusikia ukionesha masikitiko na hisia zako juu ya utendaji wa vyombo vya habari nchini Tanzania!.

Sononeko lako kuu ni jinsi vyombo vya habari nchini vilivyoandika habari kuhusu matukio ya jana na siku za nyuma,Mh Rais umeongea kwa hasira na hisia huku ukivionya vyombo vya habari kuwa visidhani kama vipo huru!.

Mh Rais baada ya kukusikia nilijiuliza maswali mengi sana,kwa nini unaonesha hasira zako wazi kwa vyombo vya habari kutokana na vyombo vingi labda kumpa nafasi kubwa Nape Mnauye na si tukio la jana la wewe kukamata makontena!.

Mh Rais vyombo vya habari vimegawanyika katika makundi matatu(Print media,electronics media and new/social media),vyombo vya habari hivi vinasimamiwa na mamlaka yaliyo chini yako!.

Print media(magazeti na majarida) yanafanya kazi chini ya idara ya habari maelezo ambayo wewe Mh Rais ndiyo unamchagua mkurugenzi wake,electronics and social media zenyewe zinafanya kazi chini ya TCRA ambayo mkuu wake yupo chini ya uteuzi wako!.

Mh Rais kabla hujaonesha hasira zako kwa waandishi na wamiliki wa vyombo vya habari,fahamu vyombo hivi vina leseni tofauti!.
1.Vyombo vya habari vya dola(state media)
2.Vyombo vya umma(public media)
3.Vyombo vya taasisi(dini,elimu) Institution media
4.Vyombo vya kijamii(community media)
5.Vyombo vya biashara(commercial media)
6.Vyombo vya kiburudani(Entertainment media)

Mh Rais vyombo hivi vina sera na malengo tofauti ambayo kwa namna moja ama nyingine ndiyo huamua aina ya maudhui ya kuwalisha walaji(wasikilizaji,wasomaji,watazamaji na wachangiaji).

Mh Rais maudhui ya vyombo vya habari huamuliwa na mambo mengi sana.

1.Umiliki(ownership),maudhui ya chombo hutegemea na nani anamiliki?Mh Rais maudhui ya Radio Imani na Radio Maria katu hayatakuja kufanana,huo ni msingi na katu hutaweza kuubadilisha,maudhui ya Gazeti la uhuru hayatafanana na maudhui ya gazeti la Tanzania Daima!.

2.Sera ya chombo(media policy),Mh Rais,chombo kabla hakijasajiliwa hupeleka kwenye mamlaka husika(idara ya habari ama TCRA),na huwasilisha andiko la sera ya chombo(dira,mwelekeo na malengo),hili nalo huamua aina ta maudhui!.

3.Hitaji na takwa la walaji(audience needs and wants),hii huamua maudhui ya chombo.wahariri,wazalishaji huangalia umri,imani za dini,itikadi za kisiasa,jinsia,shughuli za kiuchumi,kipato.chombo kisichozingatia hili kitakosa walaji.

4.Asili ya walaji(nature of the audience),Mh Rais ,walaji kiasili ni heterogeneous by nature,wanatofautiana kwa kila kitu,Mh Rais hata siku moja walaji wa habari hawatakuja kuwa homogeneous,kilio chako hicho kingekuwa na mashiko kama walaji wangekuwa homegenous,kitu ambacho sicho!.

5.Mh Rais vyombo vya habari pia vinaongozwa na wapi vita pesa,kila wafanyacho wanalenga wapi watapata pesa za kujiendesha,Tanzania haina sera ya kuvisaidia vyombo ,vinajiendesha kwa ubunifu wao,chochote wanachofanya lazima kiwape manufaa ya kiuchumi,je watapata pesa wasiooandika masuala yenye takwa na hitaji la walaji?

6.Maslahi ya umma(Public Interest),Mh Rais kama unavyojua ,maslahi ya umma yameshindwa kutafsiriwa hata na katiba,unachoona wewe ni maslahi ya umma kwa mwingine siyo!.Maslahi ya umma huamliwa na tafsiri ya mtu mwenyewe!.

7.Sera na sheria za nchi,Mh Rais vyombo vya habari katika kila wafanyacho huakikisha wanazingatia sheria za nchi na sera zake,waandishi hawaweza pigia debe ushoga,usagaji kwa sababu ni kinyume na sheria,sasa sijui sononeko lako kwa waandishi kuhusu story ya leo,msingi wake ni nini?

Mh Rais,walichofanya waandishi leo kwanza wamekifanya kama "I Hard news",waandishi huangalia mambo mengi,je kipi ni hitaji la watazamaji,wasomaji na wachangajiaji,?

Audience ya Tanzania jana mpaka leo hitaji na takwa lao lilikuwa ni kujua hatma ya Nape,Mh Rais Nape ni news!,kwa sababu.

1.Yeye ni mbunge,alikuwa waziri,alikuwa katibu wa itikadi,(Prominent)aliyekuwa mstari wa mbele kuhakikisha katu CCM haipitishi baadhi ya wagombea,chumba cha habari hakiwezi mpuuza kikimpuunza ni kutokujua "audience needs and wants"

2.Nape kaondoshwa wakati ana shughulikia mgogoro kati ya waandishi na mkuu wa mkoa,Alilofanya makonda lina sifa mbili tu(unusual and impact),kitendo cha Makonda kwenda kwenye TV na askari tena wengine yadaiwa ni walinzi wa kikosi maalum,ni story kubwa ,media haiwezi kuipuuza!.
3.Mh Rais Nape alishikiwa silaha ya moto mchana kweupe,Nape anashikiwa silaha ya moto?!!hiyo ni story kubwa,huwezi ipuuzaaa,audinence itakushangaa!.

Mh Rais usivichukie vyombo vya habari,fuatilia suala la Sera ndiyo lililosababisha Gazeti la Uhuru na Habari leo hawajaiweka ukurasa wa mbele habari kuhusu Nape,kama wewe unavyolaumu waliiandika story ya Nape,kuna watu huku nje nao wanavilaumu vyombo ambavyo havijaandika story ya Nape,na hii ndiyo maana ya dhana ya "Heterogeneous by nature" .

Mheshimiwa Rais,vyombo vya habari vilivyoiacha story ya Nape,havijaicha kwa sababu eti si hitaji na takwa la walaji wao,ni sababu ya sera na umiliki!.

Uhuru na habari leo wameiacha hui story si kwa sababu eti haina mashiko,nooo wamezingatia dhana ya umiliki,ila hata walaji wao nao wanataka habari ya Nape,yaaji Mh Rais kabisa unadhani story kama ya Nape ilivyo kuna chombo kinaweza iachaa?nooo,Mh Rais audience "needs and wants"

Mh Rais ni kweli sasa media zinatakiwa kwenda kwenye dhana ya "media for development"ila havitaondoka kwenye msingi wake wa kuandika matukio na unachokitaka kwa mazingira na msingi wa uandishi wa habari ,ikitaka viende kwa matakwa ya dola itakuwa ni kuongilia uhuru wa waandishi!.

Wasalaam.
 
Hawezi kuelewa bandiko hili.Yeye apige simu Clouds Media aulize kipindi akipendacho cha Shilawadu kinarudi lini!
 
Sidhan kama mtani wangu bwana Ngosha, atakuelewa comred Dotto, nadhan atakachofanya ni kuwapigia simu mabosi wako na kuwambia wawe KEAFULLU SANA, ama awaamrishe wakufanyie kama alivyomfanyia NAPE.

Bandiko zuri sana, linatakiwa likae FRONTI PEJI kwenye magazeti flan flan ya kesho ...!! AI WISHI AI COLDI BI MHARIRI.
 
kwa kweli tunahotaji katiba mpya ludhibiti mihemuko ya watawala kuna taratibu na sheria hivyo sio kitu asichokipenda mkuu kiwe uchochezi kwani hiyo mifano sio kwrli na ni nani atakayetujabarisha mkuu ana majukumu mengi awaachie wateuliwa wake kumsaidia
 
Back
Top Bottom