KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,757
- 86,406
he he! bora nimekosa pesa lkn akili ninazo!! ningekuwanazo pesa ungekubali tayari hiki ni kielelezo tosha cha uchepukaji haya usisahau wanaita kinga😀ha haha sitai huna pesa
he he! bora nimekosa pesa lkn akili ninazo!! ningekuwanazo pesa ungekubali tayari hiki ni kielelezo tosha cha uchepukaji haya usisahau wanaita kinga😀ha haha sitai huna pesa
Tengeua kauli yako mkuu"DEM NI MASKINI WA KUTUPWA" ...Wadau nimemchoka huyu mchepuko kiukweli demu ni mzuri ana hips za maana anatokea Chato na alikua mwanafunzi wangu nikimfundisha masomo ya hotel ila kamaliza chuo na nikamtafutia field ila naona Sasa ananibebesha majukumu ya wazazi wake yani vizinga daily mara pedi mara chupi mara vocha yani demu maskini wa kutupwa nimejaribu sana kumpiga chini lakini ananing'ang'ania nimfanyaje huyu ili asiwe na hamu na mimi manake kila nikimkwepa lazima atakuja ghetto tu
Point kubwa sanaaaaa.ela huna baki tu na mkeoJamani kama hamna hela mnatafuta michepuko kwa Lipi???? Mxeeew......
Tulieni na wake zenuuu
Bora nicheke tu!msemee kwa mkeo
Na tusio na wake?Jamani kama hamna hela mnatafuta michepuko kwa Lipi???? Mxeeew......
Tulieni na wake zenuuu
Umenifanya nami nimechekaBora nicheke tu!
Ule ushauri uliompa, wenyewe vijana mnaita NGUMU KUMEZA.Umenifanya nami nimecheka