Recent content by kabhakulu.com

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa yachafuka Mwanza: Polisi wapambana na wafuasi wa CHADEMA

    Kama wewe sio kijana lala mbele na uzee wako vijana hatudanganyiki kwa kanga na kofia za ccm. Unafahamu kuna njia napi za kudai haki wewe au upo usinizini??? Acha ulopokaji bado una elimu ya kizamani kaa kando.
  2. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Waitikisa Kigoma Wakianzia Kakonko na Kibondo leo

    Sasa CHADEMA yatikisa wananchi katika Mkoa wa Kigoma leo wakianzia wilaya ya Kakonko na Kibondo. Wametikisa raia sasa laini kama unanawa CHADEMA itaamka kidedea mwaka 2015 hususani Jimbo la Buyungu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Awaonya Wanaoshabikia CHADEMA Iramba

    Umesahau alimaanisha mabomu, risasi na kuwamwagia tindikali mkuu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Polisi TZ, safari hii bomu l imewalipua kabla......

    Wanajf sasa police walikuwa wakikataa kuhusika katika milipuko ya Bomu Arusha sasa wamebainika Dar kwenye mlipuko wa bomu katika mkutano wa CHADEMA. Na police wanadai ni bahati mbaya au walichelewa kulitega. Wanahaha na kudai ni ahati mbaya. Je, Police wanaruhusiwa kumiliki mabomu ovyo ovyo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM Kwaheri ndani ya Mkoa wa Kigoma 2015

    Jimbo hilo litachukuliwa na NCCR kama Zitto atagombea kwa Tiketi ya CHADEMA
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wadau wahoji busara ya kuuza umeme nje

    Kama umem unatosha mbona mkoa wa Kigoma na mikoa mingine umeme kwao ni ndoto miaka yote? Muhongo ajaribu kutumia busara kabla ya kutenda hapo kachapia xsana.
  7. K

    JamiiForums Tanzania CCM Kwaheri ndani ya Mkoa wa Kigoma 2015

    Wananchi ndani ya Mkoa wa Kigoma wamejipagna vilivyo kukitupilia mbali chama cha CCM mwaka wa uchaguzi mkuu 2015 kwani kimeshindwa kutekeleza mipango yake juu ya Mkoa huu tokea enzi zaTANU. Hata hivyo 2010 CCM ilifanikiwa kupata wabunge watatu tuu ikiwa ni pamoja na kutumia mabavu. Raia wema...
  8. K

    JamiiForums Tanzania John Tendwa Aing'arisha CHADEMA

    Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa aking'arisha chama cha CHADEMA kwa kushindwa kukiadhibu chama cha CCM kwa kuunda kundi la Green Guard na kutaka kukiadhibu chama cha CHADEMA kwa kuunda kikundi cha Red Brigade. Bila msajili huyu kufahamu kuwa anakidhoofisha Chama cha CCM kwa uonevu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maaskofu waipinga CHADEMA...

    Na CCM je, hawatakiwi kutoa maelezo???
  10. K

    JamiiForums Tanzania Walimu Watakapoanzisha Kampeni Rasmi Madarasani Kuing'oa CCM

    Mimi ni mwalimu nafundisha hivyo kuna andalio la somo ndio mwongozo. Hivyo haya yote yanafundishwa baada ya andalio la somo kukamilika. Mfano mimi nafundisha ushairi, riwaya na tamthiliya katika dhamira ya suala la uongozi mbaya unategemea mifano kuntu nitatoa ipi kama sio viongozi ndani ya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hongera vyombo vya habari kwa kupuuza habari za CHADEMA

    Kaa chini ufikirie kwanza ni vyombo vingapi vya habari Tz vilitangaza matokeo ya CHADEMA ya udiwani Arusha ndo uweke thread yako. Acha kuvipaka matope vyombo vya habari.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kisumo: Mbowe acha kuitumbukiza nchi yetu kwenye uvunjifu wa amani

    Wao wamekiona kikundi cha CHADEMA na wanavunga kikundi cha CCM hawakioni. Watu wengine wananishangaza cjui ni upeo mdogo wa kufikiri na uoga???
  13. K

    JamiiForums Tanzania Chaguzi ndogo 16/6 na 14/7 majumuisho na tathmini

    Sijakuelewa bt nikushukuru tu kwa kuniona mm mjinga
  14. K

    JamiiForums Tanzania Chaguzi ndogo 16/6 na 14/7 majumuisho na tathmini

    Pefla Day to day I think and rethink about politics in Tz as whole not only a part of Tz.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Chaguzi ndogo 16/6 na 14/7 majumuisho na tathmini

    Nyerere alisema, "Kama raia watakosa haki zao ndani ya CCM basi waazitafuta hata nje a CCM". Ndoto hizi sasa zinaanza kuonekana wazi si Arusha pekee hadi Kigoma. Mfano; Kigoma kuna wabunge watatu tuu wa CCM hata hivyo walipita kimabavu. Walipita kupitia tamko kutoka kwa Rais kwa wakurugenzi...
Back
Top Bottom