Recent content by kabalizuka

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ubora wa gari aina ya Nissani X-trail

    Engine oil haubanwi na aina yoyote,unaweza tumia yoyote tu ila kwa gearbox ni lazima utumie nisani na kwa extrail kuna oil inaitwa Matic J ndo yake hiyo,inauzwa kwenye range ya 40,000 mpaka 45,000 kwa lita, zinaingia lita 4, ila unatembelea kuanzia km 60,000 mpaka 120,000 ndo unabadilisha.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ubora wa gari aina ya Nissani X-trail

    Nimeelewa ulichoandika na ndo maana nikakujibu si kweli kuhusu hizo gari unazosema nyingi si 4WD, kuhusu 4WD ni uchaguzi wako wakati unanunua hayo maelezo mengine ni kwa muuliza swali wa mwanzo, usipaniki.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ubora wa gari aina ya Nissani X-trail

    Hii si kweli,gari kuwa na 4WD ni chaguo lako mnunuaji,mm ninayo na nina mwaka wa tano huu na ni 4WD, ubovu au uimara wa gari ni ww mtumiaji kuzingatia matumizi na kuifanyia service kwa wakati.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Najuta kumuonea huruma na kutembea nae

    Kaka hiyo mimba umetegeahewa,hakuna mimba ya namna hiyo,mwanamke ukutane naye kisha aanze kujisikia vibaya hapohapo na baada ya siku kadhaa anakwambia ana mimba,huyo alikuja nayo kwako kwa lengo la kukutega,kama huamini hesabu siki au miezi mliyokutana na mwende hospitali mkapime ujue ina muda...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Safari ya kurudi kutoka university of HongKong

    Unakwea pipa kurudi Tanzania kwa wiki mbili? utakuwa unakuja kwa meli wewe sio pipa, acha uongo.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ___________________
  7. K

    JamiiForums Tanzania SWISSPORT: Hakuna gawio la Hisa, kampuni inaenda kwa hasara

    Mara nyingi gawio linatolewa kila baada ya miezi sita sio mwisho wa mwezi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Leo hujaenda kanisani? Kwa nini?

    sio utetezi,hukujua kesho kuna ibada ukanywa kwa kiasi?
  9. K

    JamiiForums Tanzania TCU watoa mwongozo wa gharama za kufanya applications ya kujiunga chuo Kikuu 2017/18

    Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    mzee hii ni ID yako kwa kanda ya ziwa hasa wasukuma, wakerewe na wajita lina maana ya sehemu za siri za mwanamke zinapoota nywele za sirini.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Yanga ni hujuma/siasa

    Mwandiko huo kaka kizungumkuti
  12. K

    JamiiForums Tanzania Anayeifahamu Focas Vicoba atujuze

  13. K

    JamiiForums Tanzania Element mpya yagunduliwa

    Mkuu umetisha na hiyo element mpya
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mpenzi wangu hajui kusoma

    Mimi naona itakuwa vizuri kama utamuanzishia utaratibu wa kumfundisha au kama huwezi wewe jaribu kumtafutia mwalimu wa kumsaidia,kwa ulimengu huu wa leo ni vizuri zaidi akajua kusoma na kuandika na nina uhakika ukimsaidia kwa hilo atazidi kukupenda maana ataona unamjali pamoja na mapungufu yake.
Back
Top Bottom