Najuta kumuonea huruma na kutembea nae

Najuta kumuonea huruma na kutembea nae

Haaaa haaaa haaa haaaa teeeh teeeeh.

Ningekuwa karibu nawe ningekuzaba vibao.

Basi, ngoja ninywe juice niondoe hasira na huu upupu niliyosoma kwenye hii thread.
 
Hi wana bodi,
Nipo na mawazo na majuto kwa kutembea na mtalaka wangu,
Mtalaka wangu tumeachana miaka minne iliyo pita, kinachoniuma kwa hii miaka minne ya kuachana nae kanisumbua sana kuanzia bakwata, ustawi wa jamii mpaka mahamakani ,huku kote akidai matunzo ya mtoto.
Anachotaka yeye ni mahakama impe %ya kipato changu badala ya mimi ninavyo mtumia.
Sasa kufuatana fuatana nimejikuta natembea nae ili kumshawishi asinipeleke mahakamani kwani sipendi kufikishwa huko.
Sasa ameanza usumbfu kuwa amenasa na alikuwa anataka sana mtoto wa nyongeza azae na mimi, na anasema Mungu amejibu dua yake kwani alikuwa ana ombea niwe baba wa watoto wake tena. Sasa kwa hii miaka minne shubiri niliyoipata kwake nimeichoka lakini mwezangu hajali kama mimi sasa Nina maisha mapya anachodai mimba hii tutailea wote tukiwa nyumba moja.
Naomba ushauri ,hivi kuna waganga wa kutoa mimba rimoteness.?
Mloge afe....

tena mwambie mapema kuwa akiendelea kuleta chokochoko utamloga na kama haamini mwambie utampiga kitu atakuwa chizi kwa mwezi mmoja kisha utamponya na kumwacha akirudia ni kumtoa ihai wake.

kwanini akunyime furaha maishani..
 
No Mimi muhusika na alipopata jibu la kuwa mja mzito alikwenda moja kwa moja kwa wazazi Wangu kuwaeleza.
Nameitwa kuulizwa nimekanusha sasa nataka hao mafundi ili aonekane yeye muongo
Hii habari wewe sio wa Kwanzaa kuileta hapa........ Kuna harufu ya double I'd...... Au umecopy Mahala fulani
 
Pole sana,ila ivi kweli kwa aliyo kufanyia kama kweli unavyosema hiyo kitu inasimama kwa mwanamke huyo huyo alokufanyia vitimbi vyote hivyo? nikupe hongera kwanza una moyo wa kwenda nae peku wakati mtu unajua motive zake ni nini juu yako,kama uliona ni dawa sasa imekua sumu,chakufanya kubali tuu matokeo haina haja yakutaka kuliwa hela na waganga bure,mimba hizo ni sawa na mimba za haramu mimba ya halali unazibembeleza zikae ila za haramu hata uzisomee dua ruka ruka,panda ngazi 100 shuka zipo tuu zinakuangalia na mtoto anazaliwa Healthy,sasa weka hiyo hela ya kwendea kwa mnganga ije kumsaidia mtoto..
 
Acha mawazo ya kishetani lea mimba. Hicho kiumbe hakina hatia. Njia ulio tumia haikuwa sahihi katika kutatua mzozo. Ina elekea huyo mwanamke unamwelewa sana tu.
 
Kwa sasa nimetambua kuwa mbegu zangu si za. Majaribio, ni mara moja tu akaanza kuhisi vibaya muda ule ule. Baada ya wiki mbili amenasa.
kwa maelezo haya mkuu ulitegwa hakuna mimba ya hivo aseeh

ulijua unarudi ili muyamalize kumbe unarudi kuanzisha mapya. rejea kauli yake hii mimba tuilee nikiwa ndani

umetegwa ww
 
Sasa kufuatana fuatana nimejikuta natembea nae ili kumshawishi asinipeleke mahakamani kwani sipendi kufikishwa huko.

Mkuu kwa sabab haujakosea,wanaume wengi inatucost sana tunapofunguliwa kesi na watalaka ,yaan uchumi lazma uyumbe tu ,,,angalizo :kuwa makini yawezakuwa mimba si yako,pili endelea kuwa nae pole pole ,mwishoe atazoea tu,umuache taratib usiwe na haraka hata kama ni mwaka,kuwa karib nae
 
kwa maelezo haya mkuu ulitegwa hakuna mimba ya hivo aseeh

ulijua unarudi ili muyamalize kumbe unarudi kuanzisha mapya. rejea kauli yake hii mimba tuilee nikiwa ndani

umetegwa ww
Kaka hiyo mimba umetegeahewa,hakuna mimba ya namna hiyo,mwanamke ukutane naye kisha aanze kujisikia vibaya hapohapo na baada ya siku kadhaa anakwambia ana mimba,huyo alikuja nayo kwako kwa lengo la kukutega,kama huamini hesabu siki au miezi mliyokutana na mwende hospitali mkapime ujue ina muda gani,wewe usimwambie lolote kuhusu dhamira yako ya kutaka kujua umri wa ujauzito,mkishapewa majibu hospitali ndo urudi na mrejesho hapa,na inakuwaje mwanamke hujakutana naye miaka minne siku mnakutana unaamia kutembelea rimu bila kijua afya yake?du wonders shall never end.
 
Hi wana bodi,
Nipo na mawazo na majuto kwa kutembea na mtalaka wangu,
Mtalaka wangu tumeachana miaka minne iliyo pita, kinachoniuma kwa hii miaka minne ya kuachana nae kanisumbua sana kuanzia bakwata, ustawi wa jamii mpaka mahamakani ,huku kote akidai matunzo ya mtoto.
Anachotaka yeye ni mahakama impe %ya kipato changu badala ya mimi ninavyo mtumia.
Sasa kufuatana fuatana nimejikuta natembea nae ili kumshawishi asinipeleke mahakamani kwani sipendi kufikishwa huko.
Sasa ameanza usumbfu kuwa amenasa na alikuwa anataka sana mtoto wa nyongeza azae na mimi, na anasema Mungu amejibu dua yake kwani alikuwa ana ombea niwe baba wa watoto wake tena. Sasa kwa hii miaka minne shubiri niliyoipata kwake nimeichoka lakini mwezangu hajali kama mimi sasa Nina maisha mapya anachodai mimba hii tutailea wote tukiwa nyumba moja.
Naomba ushauri ,hivi kuna waganga wa kutoa mimba rimoteness.?
 
hi I mlshawahi kukutana na met graduate lakini haangaiki kutafuta kazi yeye ni kufungua majalada ya kesi na kuitana mahakamani,
Ndio yamenifika maana nilikuwa naona aibu mila siku Mimi kuitwa ,lakini nikimueleza hakimu kwamba alinitisha na kunilazimisha kwa kutumia nguvu take kisheria na Mahakama atanielewa?
 
Uliwekewa mtego ukashindwa kuutambua ngoja sasa.
 
Pole sana,ila ivi kweli kwa aliyo kufanyia kama kweli unavyosema hiyo kitu inasimama kwa mwanamke huyo huyo alokufanyia vitimbi vyote hivyo? nikupe hongera kwanza una moyo wa kwenda nae peku wakati mtu unajua motive zake ni nini juu yako,kama uliona ni dawa sasa imekua sumu,chakufanya kubali tuu matokeo haina haja yakutaka kuliwa hela na waganga bure,mimba hizo ni sawa na mimba za haramu mimba ya halali unazibembeleza zikae ila za haramu hata uzisomee dua ruka ruka,panda ngazi 100 shuka zipo tuu zinakuangalia na mtoto anazaliwa Healthy,sasa weka hiyo hela ya kwendea kwa mnganga ije kumsaidia mtoto..
Tena hao ndiyo wakwanza kulalamikia wanawake yy kilimfanya mpaka afungue zipu nini bado anampenda asije kuwa alishawishiwa ndugu zake waachane watu wanapokuwa kitandani 2 yote huyasahau yeye amrudishe tu alishakumbuka songombingo za mkewe
 
Back
Top Bottom