TCU watoa mwongozo wa gharama za kufanya applications ya kujiunga chuo Kikuu 2017/18

IMG-20170726-WA0017.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapungufu:
  1. Barua imeandikwa tangu tarehe 25/7/2017 lakini kwenye website yao haipo kabisa.
  2. Muongozo unavielekeza vyuo vikuu vishiriki tu vya umma
  3. UD - colleges walianza jana, mpaka leo no changes gharama ni 20 thousands
  4. UDOM - bado ni 30 thousands
Take care guys. uhalali wa barua hii bado ni mdogo sana almost negligible. Kwa serikali tuliyonayo ya watu kupenda misifa ya kijinga, kama barua hii ingekuwa halali hata Mkuu wa Mkoa (wa mkoa fulani) angefyatuka kujizolea umaarufu. so ipe asilimia ndogo sana za kuiamini.
 
mmmh
 
TCU imeagiza uongozi wa vyuo vya elimu ya juu kuwa gharama za kuomba kujiunga na chuo ni Tsh. 10,000/- tu kwa kila chuo.

Hii ni kutokana na utaratibu wa applications kubadilika na kuwa kila Mwanafunzi atatakiwa kutuma Maombi ya kujiunga na chuo moja kwa moja chuoni tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma!!

Binafsi nawapongeza TCU kwa kusimamia jambo hili mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inahusu vyuo vikuu vya umma au vya serikali tu kwa mujibu wa waraka unaodaiwa toka TCU. Japo wengine wanadai waraka huu haupo kwenye tovuti ya TCU!
Inawezekana pia MTU kaunyaka kabla haujapostiwa kwenye tovuti! Kama ndivyo basi tumeoza!
 
Back
Top Bottom