Recent content by K88K

  1. K88K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kumuoa huyu binti

    Umepata mke hapo oa mapema sana, usiiache nafasi io ikakupita
  2. K88K

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungefanyaje? Nahisi kupotea

    Kipindi unahangaikia kazi jifunze kupiga online survey huwezi kosa buku ngapi ngapi hizi. Kuanzia january survey nyingi za US na UK zitakua nyingi. Ma group mengi yapo telegram yanaelezea namna ya kuzipiga https://t.me/+mWOpZ4Ktqd0yYzY0 Na kama kiingereza kwako sio changamoto unateleza fresh...
  3. K88K

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    Happier
  4. K88K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Muda wangu sasa wa kuanza kuisoma hii hadithi baada ya kuisha, nilikua nasubiri iishe kwanza, habari za kusema itaendelea siziaminii kabisa.
  5. K88K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    [emoji457]
  6. K88K

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    GOAL! Man Utd 3-2 N Forest (76") P [emoji460]️ : Fernandes
  7. K88K

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    GOAL! Man Utd 2-2 N Forest (51") [emoji460]️ : Casemiro [emoji742] : Fernandes
  8. K88K

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    GOAL! Man Utd 1-2 N Forest (16") [emoji460]️ : Eriksen [emoji742] : Rashford
  9. K88K

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Goal la kizembe hili.
  10. K88K

    JamiiForums Tanzania Taratibu gani za kufuata kisheria iwapo umebambikiwa mtoto asiye wako?

    Samehe tu acha yapite kama halijatokea jambo lolote, ukishindwa samehe lipiza mpaka kichwa chake kiwake moto. Tukirudi kwenye swali lako taratibu za kufwata sizijui ila subiri watakuja kukuelekeza wengine, au tafuta mwanasheria/wakili utapata muongozo sahihi.
  11. K88K

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi hutafuta msaada wa kushikwa mkono lakini ikitokea wameshikwa huzichezea bahati na kufanya madudu

    Uko sahihi kabisa, sema muda mwingine na nyie ma boss mnatuzingua sana vijana kutaka tuwe ma chawa wenu. Matatizo mnatengeneza wenyewe halafu mnatuangushia sisi hizo lawama sio sahihi kabisa. Sawa mnatusaidia lakini msifanye kama fimbo ya kutupigia kwakua tuna shida.
  12. K88K

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    GOAL! Manchester United 2 - 1 Fulham (54”) [emoji460]️: Fernandes [emoji2402]: Fred
  13. K88K

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    GOAL! Manchester United 1 - 1 Fulham (39”) [emoji460]️: Sancho
  14. K88K

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    GOAL! Man Utd 4-0 Chelsea (78") [emoji460]️: Rashford
  15. K88K

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    GOAL! Man Utd 3-0 Chelsea (72") [emoji460]️: Fernandes(pen)
Back
Top Bottom