Ungekuwa wewe ungefanyaje? Nahisi kupotea

Ungekuwa wewe ungefanyaje? Nahisi kupotea

Screenshot_20250812-213303~2.jpg
 
Msomi mwenye shahada unashindwa hata kujieleza...ELIMU YETU NI CHANGAMOTO NA SISI WENYEWE PIA CHANGAMOTO..Ungejieza vzr ingekuwa rahisi kupata msaada mf useme umesomea nini??matarajio yalikuwa nini?na kwanini umeanza kukata tamaa mapema..
Ukiweza achana na vyeti jiajiri biashara ndogo ndogo vituo vikubwa vya daladala
 
Kipindi unahangaikia kazi jifunze kupiga online survey huwezi kosa buku ngapi ngapi hizi. Kuanzia january survey nyingi za US na UK zitakua nyingi. Ma group mengi yapo telegram yanaelezea namna ya kuzipiga



Na kama kiingereza kwako sio changamoto unateleza fresh, hapa utapiga hela kwa survey za interview

Vigezo
1. VPN/PROXY
2. Email za kutosha
3. Simu janja
4. Bando
5. Muda.

Ukiona huwezi survey fanya kazi ya kuuza email una unda email zenye majina ya kizungu unakua unaziuza moja 500/700 sema hii ya email ya moto sio rahisi kuunda email nyingi kwa device moja.

NB; hizo ni side hustle sio kazi ya kuitegemea usiache tafuta kazi.
 
Unajua dunia hii ni darasa kwako na wewe ni mwanafunzi, swali ni kwamba umejifunza nini mpaka sasa kupitia dunia hii hasa katika hichi kipindi ambacho huna kipato chakueleweka.

Ukiona hujajifunza kitu katika hali yako ya sasa jua kuna mahali hakuko sawa.

Mimi nilimaliza chuo nakukaa miaka zaidi ya 3 sina kazi, huku nikiwa na ramani za hapa na pale ijapokuwa hazikuwa zina generate income ya kila siku, na ijapokuwa kama za vocha na kununua mahitaji madogo madogo ya ulazima kama sabuni, na chakula nilikuwa napata ila sio kila mara.

Siku nakuja kupata kazi nilielewa ni kwanini sikupata kazi kipindi kile. Somo nililojifunza wakati ule ni money management au usimamizi mzuri ya kila sh unayoipata. Hali yangu ya sasa haiwezi kamwe kuwa kama ya kipindi kile kwasababu wakati ule nilikuwa darasa la uchumi bila mimi kuwa aware n conscious ila sasa ndio nimedhibitisha hilo...

Swala la wewe kukosa kazi kwa sasa ni darasa la mambo mengi, wakati unapata kazi unakuwa umehitimu darasa hili kwakuweza kuwa competent kuanzia rafiki gani ana mchongo wa kazi, rafiki gani si wakuwa nae, wapi kuna opportunity, bosi gani ukienda na wazo la ela anaku support kama project iko sawa na mambo mengine mengi.


Ushauri wangu ijapokuwa wanasema chakuambiwa changaya na chako. Just be positive everytime, and be aware and conscious that's
 
Back
Top Bottom