Russia is not your enemy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 373
- 629
Jamani top four hiyooooo
Maguire wa kazi gani hapoMy squad vs Fulham.
View attachment 2637109
SUBS: De Gea, Jones, Williams, Mainoo, Zidane, Elanga, Martial, Garnacho, Fernandes.
Tuna mechi muhimu na ngumu baada ya leo. Varane kuanza ni risk sana. Kocha anapaswa kuwalinda wachezaji wake leo.Maguire wa kazi gani hapo
Ten Hag ni mjinga saanaTuna mechi muhimu na ngumu baada ya leo. Varane kuanza ni risk sana. Kocha anapaswa kuwalinda wachezaji wake leo.
AiseeFRED ni mnyama...kama hujamkubali mpaka leo utakuwa na mtindio wa ubongo.
Ni aibu kubwa ERICKSON kumuweka bench FRED.
Chezaji la mechi mbili au tatu kisha kuboronga katika kiwango cha SGR.FRED ni mnyama...kama hujamkubali mpaka leo utakuwa na mtindio wa ubongo.
Ni aibu kubwa ERICKSON kumuweka bench FRED.
M-Brazil ana siku zake huyu akiamka vizuri.Nikikutana na mshabiki maandazi anamponda FRED nampiga mambata pambaf sana. ERICKSON anaweza hayo mapande ya FRED??