Recent content by K 4 LIFE

  1. K

    JamiiForums Tanzania Club ya Simba nimewakubali

    Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sub yao anatoka kiiza anaingia mgosi,aahaaaaaaaaahaaaaa,mbavu zangu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Yanga heshima mbele Afrika, Sagrada yalala mara mbili

    WAKIMATAIFA NI WAKIMATAIFA TU,mikia inawaumaaa naona leo mlivalia jezi za waangola
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kampa kampa kampa tena kama simba alivyopewa

    wakimataifa ni wakimataifa tu na mchangani wa mchangani tu, leo sasa yanga kampa kampa kampa tena kampa sagrada esperanca bao 2, kama alivyompa simba mikiaaa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini ndege, boti, mitumbwi, treni hazina kondakta?

    mr.Q.unaishi dar au kijijini? hujui maana yo kondakta wa basi?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini ndege, boti, mitumbwi, treni hazina kondakta?

    wakuu ni kwa nini daladala na mabasi ndio yana hawa kondakta? lakini vyombo vya usafiri kama ndege, boti,treni,mitumbwi hazina kondakta wakati navyo usafirisha abiria na kupitia vituo mbalimbali kama mabasi. WHY?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Serikali (TAKUKURU) yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

    magufuli mbele kwa mbele, kudadeki mnaficha sugar man?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

    donald ngoma, anawafunika woote hao
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msanii Snura afungiwa kujihusisha na sanaa, TCRA waagizwa kuifuta video ya Chura mtandaoni

    Wakuu binafsi nashindwa kuwaelewa baadhi ya wasanii wetu kwa nyimbo na video zao kuwa nje ya maadili ya kitanzania, msanii anatoa wimbo umejaa maneno ya udhalilishaji mtupu na video watu wako uchi wanacheza hovyo picha za kichefuchefu, mpaka unajiuliza hivi huyu msanii anayo familia kweli? Ana...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Yanga yatinga fainali Kombe la Shirikisho

    mabingwa wa tanzania yanga, level zetu ni waarabu,waangola, sio mikia. tunabeba FA,na ubingwa wa ligi, mikia mmetupwa namba 3
  10. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupata mtoto no swaga,pozi,promo,kimyaaaa...chezea kulea?

    wakuu kuna huyu best yetu kabla hawajapata kid walisumbua sana na manzi wake wa pande za kuleee,walikula bata,kuku ,swaga kibao, mara pati kibao pande za mount kibo, ilikua ni shidaaa mazee, but baada ya kupata kid, life changes no more swaga,pozi, hakuna cha pati tena pale nanii kibo na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wetu: Juu tai, shati, koti ila chini jinsi /kaptula na raba

    wakuu huu utafiti ni confirmed
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wa Dar ni mchuzi wa pweza, wa Mwanza ni sato na sangara

    aaaaaaaaaaaahahahaaaaaha, eti wanaume wa dar wanashindia kunywa supu ya pweza tu wakati wanaume wa mwanza wanachapa sato na sangara tu, wakuu mnadhani kuna tatizo gani hapa kwa mfano?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wetu: Juu tai, shati, koti ila chini jinsi /kaptula na raba

    Wakuu utafiti unathibitisha kuwa watangazaji wengi wa television hapa bongo wanavaa ndivyo sivyo kisa tu katika TV huonekana kuanzia kichwani mpaka kiunoni. Wanachofanya sasa wanahakikisha wanaulambia sehemu ya juu inayoonekana luningani yaani anapiga tai kali, shati kali na bonge la koti, ila...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hatari: Wife wa mshikaji ameanza kulala na panga

    wakuu kuna mshikaji wangu hivi kila akilala usiku anamuota israel mtoa roho anamvizia vizia hii yote ni kwa sababu ya hofu ya kutolewa roho na mkewe aliyeanza tabia ya kulala na mapanga na visu wakati wa usiku. je mkuu una ushauri gani kwa huyu best yangu?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Yanga, ni klabu bora Tanzania na Africa, mikia mnaisomaje?

    gungele, mziki wa ngoma waulize mikia
Back
Top Bottom