Wa Dar ni mchuzi wa pweza, wa Mwanza ni sato na sangara

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
aaaaaaaaaaaahahahaaaaaha, eti wanaume wa dar wanashindia kunywa supu ya pweza tu wakati wanaume wa mwanza wanachapa sato na sangara tu, wakuu mnadhani kuna tatizo gani hapa kwa mfano?
 
aaaaaaaaaaaahahahaaaaaha, eti wanaume wa dar wanashindia kunywa supu ya pweza tu wakati wanaume wa mwanza wanachapa sato na sangara tu, wakuu mnadhani kuna tatizo gani hapa kwa mfano?

Kwani we unadhanije?
 
Sidhani kama wote Mwanza wanatumia minofu hiyo,,,,,halafu mini has a mantiki ya post yako?
Au akili zako kama demu wa sugu?
 
Kwani supu ya pweza ina nini na sangara wana nini?

Ipo supu mpaka ya mboga za majani seuse hao samaki?
 
kuna sayansi ambayo bado ni ngumu sana kuielewa, kwanza kabisa mwanaume kama maisha hayajakaa vizuri hata unywe michuzi ya pweza, sangara , sato , dagaa, mamba, ngamia, tumbili, nguva, na hata nyangumi bado utaishia kulaumiwa na mwenza wako tu, tafuta hela kwanza ukishakuwa na life inayoeleweka mambo yanakuwa super kila mahali wala hutahangaika kwa misangoma na mavibao yao kila siku mara dawa za kuongeza nguvu au mamichuzi yenu yanayotengenezwa katika mazingira machafu. Kumbuka maisha yakiwa hayako poa ni full stress hivyo kila saa kulewa mwishowe afya dhaifu na kupata kisukari, pili mawazo mengi huleta presha, pia life isiyoeleweka humfanya mtu ale hovyoovyo hivyo kusababisha cholestral nyingi mwilini kupelekea kushindwa kufanya veme kunako kitandani. mwangangalie Dr. R. wa IPIPII anavyokula bata na kimwana wake kwasababu maisha yake yako poa. usiangalie sana ukuwa wa maneno angalia unapata ujumbe gani hivyo waza kwanza jinsi ya kutafuta hela achana na ...."comparisons za michuzi"....
 
Back
Top Bottom