Yanga, ni klabu bora Tanzania na Africa, mikia mnaisomaje?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
wakuu mtakubaliana nami kuwa kwa sasa klabu inayotisha tanzania,east afrika,west africa na afrika ni yanga, timu inatisha bana kama unabisha waulize mikia walipewa kifurushi cha mwezi wakachoonga mara kimeisha wamerudi namba 2 na kesho azam watawashusha mpaka namba 3, poleni mikia. yanga kesho tunatangaza ubingwa pia tutaendelea kuwa bize na majukumu ya kimataifa kama wawakilishi pekee wa bongo na east afrika, hapa ngoma,kule tambwe pale niyonzima na huku canavaro
 
Kwa hili tupo pamoja kule kwingine huwa unanishangaza kumbe unaweza kutulia ma kuandika vizuri hongera sana.
 
Naona vyura wanazidi kukoroma!baada ya madimbwi kujaa.Ok Africa ipi labda?
 
Back
Top Bottom