Hatari: Wife wa mshikaji ameanza kulala na panga

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
wakuu kuna mshikaji wangu hivi kila akilala usiku anamuota israel mtoa roho anamvizia vizia hii yote ni kwa sababu ya hofu ya kutolewa roho na mkewe aliyeanza tabia ya kulala na mapanga na visu wakati wa usiku. je mkuu una ushauri gani kwa huyu best yangu?
 
Funguka vizuri ndugu ili watu waelewe namna ya kutoa ushauri.

Lazima kuna sababu, huenda mwanamume analala na bunduki na kumtishia mkewe uhai. hivyo lazima naye ajihami.

haiwezekani mtu aamue kulala na silaha pasipo sababu.

Funguka vizuri
 
Jamaa alale Fofofo maana tayari Ana mlinzi hatari. Anaogopa nn sasa!? Kwan mke anamvizia yeye?
 
huyo anayelala na panga ni msanii amtandike vibao vichache pwaa pwa pwapwaa pwaaaa anataka siku moja amuue usiku halafu ajifanye alikuwa anaota ila ashazikwa!
 
wakuu kuna mshikaji wangu hivi kila akilala usiku anamuota israel mtoa roho anamvizia vizia hii yote ni kwa sababu ya hofu ya kutolewa roho na mkewe aliyeanza tabia ya kulala na mapanga na visu wakati wa usiku. je mkuu una ushauri gani kwa huyu best yangu?
Mshikaji wako aanze kulala na sanda
 
Back
Top Bottom