Recent content by justuce John

  1. justuce John

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Ajiulize, kama anataka Pesa zakutengeneza barabara, Magufuli alikuwa anatoa wapi?
  2. justuce John

    Ukiwa unaweka mafuta full tank inapunguza ulaji wa mafuta kwenye gari?

    Jibu nikweli kabisa hata Pikipiki ukijaza full tank mafuta hayaendi kabisa hasa ukiwa nasafari ndefu.
  3. justuce John

    TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

    JPM Alipanga mwezi wasita mwakani umeme wa Mwl.nyerere ndo utwashwa, Sasa kwa huyu msafiri sjui kama utawashwa.[emoji26]
  4. justuce John

    Mama Samia, chondechonde na Ardhi yetu kwa Wakenya

    Hatuwaogopi ila tunahofia mtakuja na Al-shababu!
  5. justuce John

    Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

    Watanzani tunajifunza nini kwa wanasiasa kama hawa?
  6. justuce John

    Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

    [emoji1787]kivipi?
  7. justuce John

    Msanii Hamornize ajichora tatoo ya Hayati Magufuli

    Waliomchukia Magufuli niwale wenye maisha tegemezi hawajishughulishi na wafanyabiashara haramu.
  8. justuce John

    Msanii Hamornize ajichora tatoo ya Hayati Magufuli

    Kwani Bashite yupo Nigeria?[emoji848]
  9. justuce John

    Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

    Kalamuganyira neijashubayo! Bora amwangile kimo! Atamuganyira!
  10. justuce John

    MJADALA: Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

    Umemaliza Boss hakuna tena mjadala hapo.
  11. justuce John

    Serikali kuwasilisha Bungeni Muswada wa kurekebisha kikokotoo cha Mafao

    Wewe kama hufungi kumbuka hii niramadhani kuna baadhi ya wachezaji wapo kwenye mfungo waramdhani.
  12. justuce John

    Hayati Magufuli aliona mbali kuhusu chanjo, ona sasa huko Ulaya wanavyoanza kupukutika

    Lazima wapukutike utafiti wa chanjo ulifanywa kwa wanyama inakuwaje adungwe binadamu!? Mimi staki kudungwa nachanjo yawanyama ntakufa namitishamba yetu.
  13. justuce John

    Kwanini wanataka kuzuia Rais Samia Suluhu asiende kinyume na Hayati Magufuli?

    Umeshasema mtangulizi wake JPM sasa unataka nini hapo?
Back
Top Bottom