hilo ni jambo jema.....pongezi kwa wote waliofanikisha hili...Yote yanawezekana kwa kufuata na kutii sheria za nchi yetu na kumuheshimu kila mmoja kwa nafasi yake
TUMUULIZE SWALI MTOA MADA....
AJE KUTWAMBIA KUOA AU KUOLEWA UNAJIPANGIA WEWE AU MUNGU NDO ANAYEPANGA.....MAANA KWA KAULI ZAKO KANA KWAMBA UNAJUA TAR ZA WATU KUOLEWA
nakushangaa sana UKAWA wapo kwa maslahi ya nchi ko hoja inapokuwa ya msingi lazima ijadiliwe na kuweka ushabiki wa kivyama pembeni cio kila jambo ni siasa mengine yahitaji UMOJA NA MSHIKAMANO KAMA NCHI ILI TUFIKE
nisingependa nione pumba au maneno yasiyokuwa n maana nanukuu ya mwandishi kama uchaguzi wa mwaka 2000 cuf walisema urudiwe lakini mkapa akagoma na kusema utarudiwa sehemu zilizokuwa na dosari kwanini 2015 urudiwe nchi nzima .........aaaahhhhhaaahhh sasa naamini ile kauli ya Maalim Seif kuwa...
tunamshukuru profesa kwa kuliona hilo yaani mtaani hakuna heshima kati ya mwanafunzi wa chuo kikuu na wa kidato cha sita kisa wote tupo kwenye GPA.........NAUNGA MKONO HOJA ASILIMIA MIA ASANTE PROF.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.