Vyuo bora Tanzania kwa kozi mbalimbali

Vyuo bora Tanzania kwa kozi mbalimbali

kwa IT hakuna kilicho bora zaidi ya College of informatics and virtual education (CIVE)-UDOM
 
nataka kuwa mwalimu wa economics.....ila sio maisha yangu yote.....nisome faculty gani?
 
Muujiza gani kaka nataka kujua Kati ya St. Joseph na udsm.
Udsm ni chuo kikuu kilicho na wakufunzi wengi walio, kinachodahili wanafunzi wenye ufaulu mzuri katika masomo yao, ni chuo chenye uzoefu katika maswala ya kitaalamu na zaidi ni chuo ambacho serikali inawekeza nguvu zake na kukiangalia kwa jicho la pekee sana, Kukilinganisha na st.Joseph ambayo hata miaka 20 haijafikisha si haki japo hatukatai kuwa st.joseph wana mazuri yao pia.
 
VIPI TRANSPORT AND LOGISTICS MANAGEMENT?? - NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT
Home
 
Back
Top Bottom