Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
Mulugo njoo huku utetee mfumo wako watu wanataka kukufanya huna maanaWaziri wa Elimu, Prof. Ndalichako ameliagiza Baraza la Mitihani la Taifa Kufuta Mfumo wa GPA katika upangaji wa madaraja ya ufaulu na kuurudisha mfumo wa Division uliokuwa unatumika awali.
Habari zaidi inakuja..