CUF, Kwanini kuleta Mdahalo Bara badala ya Zanzibar?

CUF, Kwanini kuleta Mdahalo Bara badala ya Zanzibar?

Kwani Huo Mdahalo Ni Lini Na Muda Gani!!!!!?? Ili Niufuatilie Kwa Umakini Zaidi, Kuona Hicho Kinachowapa Pressure Mabazazi Hawa!!!!
 
Ama kweli akili ni nywele
Jibu Swali Hilo, Dkt Shein, Maalim Seif Na Balozi Idd Walikuja Magogoni Kutafuta Nini, Wkt ZANZIBAR Ni NCHI Kamili Na Masuala Yake Ya UCHAGUZI Wake Hayahusiani Na Mambo Ya Muungano!!!!??? Je, MAGUFULI Afanye Nini!!!!!?? Jibu Kwanza!!
 
Nyumbu wako wengi bara kuliko visiwani na ndiyo sababu wamehamisha ishu yao kuileta bara.
 
Othman Masoud umeamua kuwa kibaraka wa cuf???? Tunakusubiri kwa hamu kesho kwenda kukuona unavyongangania kula matapishi yako.
Maskini Balahau umejisahau kama wewe ulikuwa DPP wa SMZ, ukawa AG wa SMZ na mshauri wa karibu wa Rais wa Zanzibar masuala ya sheria. Lakini ulianza kuonyesha rangi zako wakati wa mchakato wa katiba. Tangu wakati ule tunakujua X AG hukuwa muadilifu. Ulitumia cheo chako kupata momentum ya kisiasa na ma cuf wenzioo. Tulikujua mapema lkn maskini Dr Shein alifunikwa pazia la mahaba hadi ulipomchosha kwa uzuzu wako ndani ya Bunge la Katiba. Akakutimua kazi. Tangu kipindi kile ulichotimuliwa tunasikia hata akili zako zimepungua Othman Masoud, huko stable kabisa, kwasababu hukutegemea panga lile na hata lilipokukuta hukutegemea kwa kiburi chako cha kipemba kama utakuwa na utabakia fala hadi leo.
Sisi tulijua una akili kaka kumbe ndio yule yule Othman wa kuburuzwa na ma cuf. Tunakusubiri kesho kwenye mdahalo. Tunashangaa unakwneda kufanya mdahalo wakati wewe si Mwanachama wa TLS. Hukuwa na hukuwa na hamu ya kuomba uanachama kwasababu ya chuki zako dhidi ya Muungano wa Tanzania. wewe tangu awali si muumini wa Muungano huu. na hata ulipokuwa unasoma ulikuwa michango yako darasani ni ku criticize muungano huu. Sasa leo Tanganyika Law Society wanamualika mtu kama wewe kutoa mada ambae huna imani na Muungano. X AG usie na imani na Watanzania wenzio. Unapigania nchi igawanyike. Ndiowewe uliekuwa unaongoza kupotosha Baraza la Wawakilisho kwa kusema kwamba Tanzania Bara inainyinya Zanzibar. Zanzjbar haifaidiki katika Muungano huu na kheri ijitoe. Sasa mdahalo kwanini ukakubali kuufanyia Bara badala ya Zanzibar???? Ungefanyia Zanzibar tena hasa Pemba maana wapemba wenzio hawajawahi kuona midahalo kama hiyo. Ukawaelimishe wakuelewe Balahau.
Bi Fatma Karume na wewe wote mnatumika kwa cuf. Mnashabikia maalim seif. ni washauri wake wa kisheria na kesho mnakwenda kwenye mdahalo kama wawakilishi wa cuf si ndio Baba?? Mungu atakusaidia mjomba na huyo Kazuzu mwezio Fatma Karume.
Tumejipanga na tumejikoki tunakuja na zana kamili. kwasababu tunaelewa kutumika kwenu kesho ni kwa ajili ya propaganda ya cuf.
Tena kaka Othman Hongera kwa kumshauri Maalim Seif arudie uchaguzi na kumuahidi utamsaidia kumpigia debe kwa style za uamsho hahahahhahahaaaa balahau wachekesha. Enzi za Uamsho na style za uamsho zimeisha. Ukiteleza utaishia keko na kesho tunakuja na pingu zetu ukumbini. Ukibugi kumtukana kiongozi wetu muadham Magufuli au Dr Shein basi huendi Segerea. Tutakupeleka kwa Museven na huyo Wakili Safura Fatma Karume.
Bi Fatma zile ardhi za watu ulizozipora kesho usisahau kuzigusia kwenye mada yako tafadhali. Kuanzia ardhi ya Bw Sharif wa Dimani na Kanisa la Mbweni. ambayo haya Baba yako alikukingia kifua na zile dramas za media. Haaaaa umezidi hadi ardhi ya kanisa umeiba halafu unajiita msafi wa kujua mapungufu ya uchaguzi na matokeo yake wakati wewe mwenyewe Fatma Karume unanuka uvundo wa wizi wa Ardhi.
Ama kweli vituko hivi ni Tanzania tu.
Tuonane kesho ukumbini wapiganaji.
Othaman Masoud ushauri wa bure japo hupendi Muungano wa Tanzania kesho omba basi Uanachama wa TLS tafadhali walau ujulikane kama popo au ndege.
Taarabu ziliwaharibu sana. Ona umbea unaouleta huku nyambafu wewe.
 
1453639111016.jpg
Yaani hivi ndo unavyo foka kichwani mwako?
 
Jibu Swali Hilo, Dkt Shein, Maalim Seif Na Balozi Idd Walikuja Magogoni Kutafuta Nini, Wkt ZANZIBAR Ni NCHI Kamili Na Masuala Yake Ya UCHAGUZI Wake Hayahusiani Na Mambo Ya Muungano!!!!??? Je, MAGUFULI Afanye Nini!!!!!?? Jibu Kwanza!!

Kwaulize wote na Maalim Seif naye maana alienda.Kiliwaleta nini wote wakati nchi yao ni nchi huru kwa mujibu wa katiba waliyoipitisha chap chap wote CCM na CUF 2010? Kawaulize

ILa kwa mtizamo wangu walikuwa hawajaja kumpongeza toka alipochaguliwa kuwa raisi kwa hiyo wote walikuja kumsalimia.Kama kawaida Mswahili akikusalimia lazima na wewe umsalimie kwa kumuuliza nyumbani unakotoka hakujambo basi kila mmoja atakuwa alijieleza kivyake.Magufuli akawaambia poa,Poleni inshalah mtayamaliza wenyewe maana nyie ni nchi huru,yenye katiba yake na ina wimbo wake mtayamaliza mtaendelea kuimba wimbo wenu wa taifa.Akawapa chai na urojo kwa anayependa akapiga nao picha akaagana wakarudi nchini kwao Zanzibar mwenye kwenda unguja hewala mwenda hewala.
 
Unapoamua kuwa mkweli na kutumia Taaluma yako kuelimisha watu unakuwa Kibaraka? Inaelekea linawatesa sana hili litakalofanywa na TLS pale Ubungo Plaza! TLS wana Haki ya kumuita hata Donald Trump kuja kuelezea anachokifahamu kuhusu jambo husika. Mbona hukuwahi kuhoji Bunge Maalumu la Katiba kuwaalika kina Prof. Lumumba toka Kenya kuja kujadili mambo ya Tanzania? Othman ni Mwanasheria, na Mzanzibari kama alivyo Shein na wengine. Katiba zote mbili zinampa Freedom of Speech n Expression, na Freedom of Movement. Ndicho anachotekeleza. He was Honesty kwenye kura za Bunge la Katiba,hakuwa Mnafiki kama kina Kificho waliotoka Zanzibar na Msimamo mmoja kufika Dodoma wakaufyata. Aliietendea Haki Nchi yake na Nafsi yake. Nauliza, mnachokiogopa ni nini kwa Othman na Fatma? Mmezoea kuishi maisha ya uongo na unafiki muda wote,You dont change,halafu muangaliwe tu? Mambo ya uozo wa Fatma kwenye Ardhi unaweza kwenda Mahakamani, ni suala la kisheria instead ya kuja kujamba hapa jukwaani. Tulieni Cristapen iwaingie Vizuri!
Nimepata taarifa kuwa yule mwanadada Asha Bakari kishaaga dunia!!! Nikikumbuka matamshi yake bungeni..............kweli binadamu si lolote kwa mungu. Jussa sijui atahudhuria mazishi. Mmmmmmhhh
 
Kwa mujibu wa wazanzibari na katiba yao wanadai wao ni nchi.

Maalim Seif, Jussa na Othman (alokuwa mwanasheria mkuu) walikuwa mstari wa mbele kuidai hiyo nchi hadi wakaingilia vipengele vya katiba ya JMT.
Imefika hatua Zanzibar ni "nchi" kiasi kwamba rais wa JMT hawezi ingilia uchaguzi wa rais wa Zanzibar na wala NEC haihusiki kwa lolote na chaguzi za ZEC.

Ndo maana baada ya Jecha kufanya upupu wake, Maalim kakimbilia kwa JK.
JK akamwambia yakhe ya huko kwenu hayanihusu....ushasahau?...si ulininyang'anya..nitaongea na mkuu wa majeshi akufanyieni upole baasi...
Hiyo ndo Zanzibar. Jibu hilo ni kama alilopewa Tundu Lisu wakati anang'ania kuongezwa muda wa maswala ya Bunge la Katiba na kura ya maoni...Akaulizwa..Tundu we si ndo ulitoka mishipa ya shingo kukataa nisipewe haya mamlaka? Sasa leo wataka nivunje sheria yako mwenyewe?

Haya ndugu yangu hiyo ndo"nchi" ya Zanzibar..
Jecha hakufuta uchaguzi wa ridhaa yake bali ni shindikizo kutoka kwa mkuu wa chama cha ccm ambae alikuwa ndio amir jeshi mkuu, na Jecha alikuja kuchukuliwa na JWTZ chini ya ulinzi.
 
Ninaamini kuwa, ingekuwa na manufaa makubwa zaidi kwa watu wa zanzibar kufanya hii midahalo, makongamano na majadiliano ya mustakabali wa uchaguzi na nchi yao ndani ya Zanzibar.
Ingeleta maana zaidi na madhubuti kama Wazanzibari wangeshiriki makongamano kama haya.
Kwa nini Fatma na CUF wasiyafanye haya Zanzibar?
Hata Jussa huchepukia bara mara kwa mara kwa mambo yanayohusu Zanzibar.
Mkuu Zanzibar mdahalo kama huu hauwezi kuruhusiwa. Nimekaa huko nchi yenu haina democrasia tangu mwanzo.
 
Mimi nafikiri mdaharo umeletwa Bara kwa sababu kuu mbili
(1) Zanzibar ingekuwa vigumu kukubaliwa kufanya huo mdaharo kutokana na uhuru uliopo wa kutoa mawazo ulivyo Zanzibar hasa masuala yanayohusu kuikosoa serikali ya Zanzibar.
(2) Wabara wengi hawafahamu matatizo ya Zanzibar, kwa kutumia mdaharo huo watakuwa na nafasi ya kujua matatizo halisi ya Zanzibar
 
Wabagiz ccm wasiotaka serekali tatu ,zanzibar,Tanganyika na Tanzania,,,mzizi wa fitina uko hapo ,na ccm wanafanya hivyo ili waweze kubagua watu ,,,na kujificha ,,,ukwel u wazi Tanganyika Law society ,,ndo imewaalika hawa kuzungumzia maswala ya zanzibar ,kwa nn ccm mnataka wasije huku ,wakati wa kuchagua mamewa wa huku bara kwasababu ya maslahi ndo mnajidai mwawapenda acheni unafiki ....

serikali tatu hatutaki, nyie wazanzibar kama mnataka muungano serikali ni moja tu au mbili kama ulivo sasa. Na kama muungano hamtaki midahalo inayohusu uchaguzi wenu pelekeni hukohuko kwenu mwaogopa nini?
 
Kwani siku zote si huwa tunahubiriwa na wanasiasa wetu kuwa TZ yote ni moja?

Sasa kuna tatizo gani mdahalo huo kufanyika Dar, ambalo ni jiji lililoko ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Hoja yako ingekuwa na mashiko kama hao akina Othman na mwenzie Fatuma wangeamua kufanya mdahalo huo Jijini Nairobi.

Inaelekea mtoa mada hii akawa miongoni ya 'washauri' wakuu wa lile bango la HIZBU CHOTARA, ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA PEKEE!
 
Back
Top Bottom