Recent content by just in time

  1. J

    Maandamano ya Karagwe ktk picha

    Kadi zenyewe za uanachama ni mpyaaaaaaaaaa kabisa, hao wazee hapo wanaumri zaidi ya miaaka sitin lakini cha kushangaza kadi walizoshika zina umri wa wiki moja toka zichapishwe, Ndiyo maana huyo mtot hapo kushoto ameshika tamaa, anashangaa jinsi watu wanavyopenda rushwa, lakini masikini kujana wa...
  2. J

    [PICHA] Songas wameingiza mitambo mipya?

    Hapa wakuu kinachotakiwa serikali inunue mitambo yake. Inawezekanaje kununua bmw za ikulu ambazo hazitumiwi mara kwa mara? Wanakuja kukodisha mitambo ambayo inahitajika kila siku? Na kinacho takiwa ni kuwa na mitambo yetu ili bei ya umeme iwenafuu kwa kila mtanzania, swala la kukodisha hata...
  3. J

    Augustino Lyatonga MREMA, Namvulia Kofia

    stay blessed man,
  4. J

    Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa misukosuko

    jamni si mgoogle kujua mashine za kutolea copyzimegunduliwa lini? kwan zamani kulikuwa na zile za kuzungusha kwa mkono kama zakumenya kahawa,
  5. J

    [PICHA + VIDEO] CHADEMA ndani ya Butiama

    Ndugu yangu wewe unabahati ujawahi kufiwa, nadahani utajajua tu,xxxxxxxxxxxxxxxxx i reserve my coment.xxxxxxxxxxxxxx
  6. J

    Picha rasmi ya rais na bango la baraza la mawaziri

    Nashukuru sana badala ya kutusambazia bati kwa ajili ya nyumba zetu za tembe anasambaza picha na mabango? But something is better than nothing, yatanisaidia kusiliba nyumba yangu ya tembe angalao ndani kutakuwa kunavutia na kuweza kutofautiana na nje, walahi mungu mkubwa, asante jk, kwa...
  7. J

    Augustino Lyatonga MREMA, Namvulia Kofia

    1. MREMA is a born leader not made like those u know my brother,mrema is smart up stairs comparered other,Leaders are Sort of Born 2. There's only one thing that a person needs to actually be born with in order to be a leader later in life. That's intelligence. Mrema is real interligence, A...
  8. J

    DOWANS waisamehe TANESCO deni lote!

    Hakuna haja ya kuingia mkataba na cambuni inayoendeshwa kitapeli, nibora kuvunja mkataba na dowans na kutangaza tenda ya kuzalisha umeme kwa nchi mbalimbalina kuchagua ambayo, ambayo itatoa nafasi kwa tanenesco kupata kampuni bora na inayojulikana na si kambuni ya vichochoroni kama dowans...
  9. J

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    NDUGU ZANGIN, NAPATA WASIWASI KTK HILI SWALA, LA HUHYU JAMAA ANAYJITA MMLIKI WA DOWANS KUJA, KWANI ANAYOYAONGEA YANAFANANA KABISA NA ALIYOYAONGEA BWANA JANUARY MAKAMBA, INAMAANA HAPA KUNA MPANGO ULIOANADALIWA VIZURI KWANI MAKAMABA ANAZO DATA HALISI ZA MMILIKI WA DOWANS NA AMEAGIZWA NI NINI CHA...
  10. J

    Ushindi wa Kikwete wazidi kutia mashaka

    wamemtimua tido , mwanamapinduzi kamili sasa unafikiri nani tenayupo huko TBC1? WALIOPOWOTE WAMEPANDIKIZWA, WANAMUMIKIA KAFIRI.
  11. J

    Kapuya, hii kali...! Ipe maneno picha hii

    waziri gani wa ulinzi hakuweza kutumia intelijensia kujua kwamba aliyempiga picha , atakuja mdhalilisha? ndyo maana presida kampiga chini uwaziri.
  12. J

    Kwanini viongozi wa CHADEMA hawajaenda kuona wahanga?

    Kwani hao wahanga ni wa maonyesho? kinachitakiwa ni wapewe haki yao inayowiana na madhara yaliyowapata siyo kwenda kuwaonyesha meno. Pole inasaidia nini wakati watu wamepoteza ndugu zao? Waliokuwa wanawawezesha kuishi hapa duniani, siyo kwenda kuwaonyesha suti za kifisadi hapa.
  13. J

    Picha hii inazungumza yote ~ A more than thousands words

    Spika kimeo, hili si jambo la dharura, sasa bosi wake anatufuta nini mahospitalini? Inamaani hili lilikuwa kwenye ratiba ambayo spika anayo ya shughuli za raisiza mwezi huu siyo? Huyu mama analake jambo, mbona hakuwatangazia wananchi kwa kutakuwa na milipuko ya mabomu na raisi atatembelea...
  14. J

    JWTZ na taarifa ya Mabomu Gongo la Mboto

    Ndugu zangu ni hivi hakuna cha mwanjeshi wala mama yake nani. mwanajeshi si mungu kwa hiyo lazima awajibishwe, mfano mzuri naotaka kumpa huyu raisi wa mataji ni , kama ufwatao ambopo ulitokesa marekani mwaka jana, na Raisi wa watu OBAMA ALIAMAUA KAMA IFUATAVYO, NBC News and news services...
Back
Top Bottom