[PICHA] Songas wameingiza mitambo mipya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

[PICHA] Songas wameingiza mitambo mipya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Uncle Rukus, Mar 2, 2011.

 1. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,431
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  soNgasi.jpg Hii ni mitambo ya nini hapa getini kwa Songas muda huu saa tisa mchana iko mitatu kwenye gari tatu kubwa....au mgao karibu kimbia zake!!!???

  Source;Kibonde
   
 2. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,343
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mganyizi nimeipanda source ya info "Kibonde"!

  Walio kwenye sekta ya umeme watatujuza bila shaka
   
 3. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  iwe kweli tuondokane na adha ya mgao
   
 4. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,022
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  tusubiri watoke makazini wadau wa umeme watujuze zaidi
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sio mabomu mapya ku-replace yalo lipuka majuzi?
   
 6. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 5,944
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 280
  Mabomu yapelekwe Ubungo Power plant kufanyeje sasa jamani.........
   
 7. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,354
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  I think anmaanisha michakavu iliyoungua juzi hapo SONGAS, na hii ni mengine....lol!!
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,415
  Likes Received: 610
  Trophy Points: 280
  Mmmm.....ni hatari maana Sirikali inapiga upatu Songas wanunue mitambo ya DOWANS; kama wakiingiza yao ina maana ile ya DOWANS itadoda!!!!!
   
 9. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,354
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  I think anmaanisha michakavu iliyoungua juzi hapo SONGAS, na hii ni mengine....lol!!
   
 10. j

  just in time Member

  #10
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa wakuu kinachotakiwa serikali inunue mitambo yake. Inawezekanaje kununua bmw za ikulu ambazo hazitumiwi mara kwa mara? Wanakuja kukodisha mitambo ambayo inahitajika kila siku? Na kinacho takiwa ni kuwa na mitambo yetu ili bei ya umeme iwenafuu kwa kila mtanzania, swala la kukodisha hata kama umeme utakuwepo 24/7 kama wewe si fisadi hatutaweza kulipa bili.
   
 11. MANI

  MANI Platinum Member

  #11
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,238
  Likes Received: 1,554
  Trophy Points: 280
  Mkuu tukinunua yetu kutakuwa hakuna capacity charge na ni hapo ndipo tunaposhibia
   
Loading...