Its like HAWAELEWI KINACHOENDELEA!!!!! POOR THEMHizo kadi mpya, waligaiwa walipokuwa kwenye Lori wanaletwa uwanjani. Halafu mbona nyuso zao hazina hamasa?
Kama ni hivyo waulize JK, Wassira, Chiligati, Pinda na Tendwa mbona wanapagawa na watu wasiozidi asilimia 10?
haya ni mapokezi ya kagera wanachama wana kadi za chama chao
![]()
mbona hakuna picha :mullet::mullet:
mbona watu wa kawaida?