Recent content by Junior Teacher

  1. J

    Gharama za kusoma Canada zipoje?

    Na je, kwa anayehitaji Kwenda kufanya Masters hasa za ICT/Computer Science fursa zipo? Na scholarship je?
  2. J

    Msaada kuhusu namna ya kuhama chuo

    Angalia utaratibu wa kuhama umewekwa kwenye website ya TCU! Mwsho wa transfers ni tar 20 November!
  3. J

    Ugumu au Ubora wa Chuo ni Idadi ya Disco ama?

    Wanajamvi, naomba kuuliza, hivi kupima au kujua Chuo kuwa ni bora kielimu au pagumu tunatumia kigezo cha idadi ya wanafunzi wanaokuwa discontinued kutokana na academic performance au kinatumika kigezo gani? Maana Vyuo vingine utasikia ugumu wake au ubora wake they base kwenye number of...
  4. J

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

    JPM kawashangaza wengi, na atazid kuwashangaza wengi
  5. J

    TCU: Maombi ya kusoma "Degree" vyuo kikuu kufanyika Direct katika Vyuo husika

    Kuomba directly Chuoni nafkri si sawa, tungeboresha matatizo yaliyokuwepo kwenye CAS na tuendelee na CAS yetu tu!!!
  6. J

    Chuo kikuu huria vs vyuo vikuu vya binafsi na serikali

    OPen University ni Mwanafunzi ni kama Kuku wa Kienyeji hivi Vyuo vingne Mwanafunzi ni kama Kuku wa Kisasa, hope umeelewa
  7. J

    Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?

    Pagumu zaidi ni Mzumbe, licha ya mambo yote kama hivyo Vyuo vingine, lakini pia mfumo wao wa disco ni very complicated than vyuo vyote TZ
  8. J

    Nini hatma ya TCU baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    we unataka watu wafe, kuna Chuo kama Mzumbe unaujua mziki wake? kupita one semester kwenda nyingine ni ngumu kuliko mafunzo ya Jeshi, hlf waongeze na ugumu zaidi kwenye udahili? kha
  9. J

    Nini hatma ya TCU baada ya kauli ya Rais Magufuli?

    sidhani kaul ya Maguful ni ya kufuta TCU au kufuta CAS, mwanafunzi hata kupitia CAS anaweza kuomba chuo/vyuo anavyotaka, cha msingi achaguliwe ktk among vyuo alivyoomba, na baadhi ya vyuo viache kwenda kufanya robbing maana wakiona kuna mtu kachagua chuo chao hata kama ni last option na ana sifa...
  10. J

    Kwa kauli ya Mhe Rais Magufuli,MD kufutwa UDSM

    UDSM waache tamaa, Medicine kwa wao haina mashiko kutokana na miundo mbinu lakini ukizingatia kuwa MUHAS alikuwa mtoto wake, sasa asitake kushindana na mtoto wake
  11. J

    Mzumbe wasota kwa njaa baada ya boom kucheleweshwa

    iweje vyuo vingine washapewa Mzumbe wasipewe? tena kila semester wao mikopo lazima ichelewe
  12. J

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    I think still alkuwa wrog, alitakuwa kuuliza program gani aliyosoma, na sio kitivo/college.
Back
Top Bottom