Kwa kauli ya Mhe Rais Magufuli,MD kufutwa UDSM

Mchundo

Member
Jul 10, 2013
40
51
Katika Uzinduzi wa Hostel za UDSM leo,nanukuu maneno yake;

Magufuli: Nikishafungua Mloganzila, wanafunzi wa Medicine wahame hapa. Najua VC unahitaji wanafunzi wengi lakini jiandae kuwaachia [HASHTAG]#JFLeo[/HASHTAG]

Hivyo wanafunzi wa Udaktari wa Mlimani watahamishiwa mlonganzila na kuwa wanafunzi wa MUHAS
 
Huyu kweli anapenda sijui sifa au ndio ubinafsi.. Eti "nikishafungua" kama kajenga yeye viongozi waadilifu wanatumia "tukifungua" kwa maana kimejengwa kwa kodi za wanawanchi
Ndio yale mambo ya chumba changu,kitanda changu wakat alienunua ni mwingine katulia tulii
 
Huyu kweli anapenda sijui sifa au ndio ubinafsi.. Eti "nikishafungua" kama kajenga yeye viongozi waadilifu wanatumia "tukifungua" kwa maana kimejengwa kwa kodi za wanawanchi

Kama ni hivyo, mbona mabaya yote mnampelekea yeye badala ya kutujumuisha wote?!

Acha unafiki. Yeye ndo Rais, projects kubwa zote zinazofanyika zinafanyika kwakuwa yeye ameamua. Angeweza kuamua zisifanyike na kusingekuwa na wa kumfanya kitu.

Nampongeza kwa juhudi zake.
 
Hapa naona MUHAS ya muhimbili ingerudi UDSM na hao mloganzira wangeanza upya ili kurndeleza hadhi ya UDSM kuliko kuitoa kabisa
 
UDSM waache tamaa, Medicine kwa wao haina mashiko kutokana na miundo mbinu lakini ukizingatia kuwa MUHAS alikuwa mtoto wake, sasa asitake kushindana na mtoto wake
 
Hapa naona MUHAS ya muhimbili ingerudi UDSM na hao mloganzira wangeanza upya ili kurndeleza hadhi ya UDSM kuliko kuitoa kabisa
Unajua kwanini MLOGANZIRA ilijengwa???? Unajua nini kilitokea kati ya Hospital ya Muhimbili na chuo muhas? Hadi ukafikiwa uamuzi wa kujenga mloganzila???
 
Back
Top Bottom