GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,089
- 2,199
Habari za asubuhi wapendwa. Mara nyingi nimekua nikijiuliza utofauti uliopo baina ya chuo huria ambacho unasoma ukiwa nyumbani na vyuo vya serikari na binafsi ambavyo mwanafunzi anaingia darasani na kusoma. Je kuna utofauti wowote juu ya mwanafunz atakayesoma open na atakayesoma vyuo vya serikari na binafsi?