Canada ni nchi ya 10 Duniani kwa uchumi mkubwa huku pato la wastani wa kila mwananchi ni $47,771 pamoja na kuwa nchi ya 10 kiuchumi mkubwa ni nchi ya pili Duniani kwa Maendeleo makubwa ya kijamii ambayo yanajumuisha vitu 3
1 Mahitaji ya Msingi ya Binadamu, ambayo yanajumuisha huduma za matibabu, usafi wa mazingira, na makazi bora
2 Misingi ya Ustawi, ambayo inashughulikia elimu ,Upatikanaji wa Techinologia kwa wananchi pamoja na life expectancy.
3Fursa za ajira ,uhuru wa kuchagua na kuabudu ,haki za binadamu
Kuhusu kupata kazi za professional kazi zipo lakini kunavitu lazima uwe navyo kuzipata hzo kazi za professional kwanza unaitaji kupata kibali cha kufanyia kazi (Work Permit) ambapo kwa Canada zipo za aina mbili
1 Open work permits
Kibali hiki kinakuwezesha kufanya kazi kwa mwajiri yeyote ndani ya Canada lakini mwajiri wako ni lazima awe na sababu za kutosha kwa nini amekuajiri wewe na si Mcanada
2 An employer-specific work permit
Kibali maalum cha kazi kinachowezesha kufanya kazi kulingana na masharti ya kibali chako cha kazi, mara nying ni kwa kazi zisizo na ujuzi (unskilled jobs) kwani Canada kazi zipo katika category 3 ambazo ni
1 Professional
2 Skilled
3 Unskilled
Kupata kazi ya A class ambayo ni za Professional ni ngumu sana narudia tena ni ngumu sana sidhani kama ww unaweza kuwa na ujuzi au weredi wa kuajiriwa ww na akaachwa mcanada pili vigezo vya kupata kazi ni vingi sana pia utapitia kwenye test zaidi ya tatu au nne ili kuweza kuqualify standard za kufanya kazi Canada kwenye Professional jobs
Sijui umesomea nini lakini ningekushauri kupata kazi za daraja ya Pili yani B Class ambazo ni Skilled ni nzuri sana na malipo yake ni makubwa sana na kupata ni vyepesi hasa kazi za Trades work zipo kazi ya TW zaidi ya 32 lakini nakutajia 4 best kwa Cadana amabzo kipato chake kwa mwaka ni zaidi ya $51,000 -75,000 Kazi hizo ni
1 Electrician
2 Plumber
3 Welder
4 Construction
Kama unataka kusoma Trust me soma hizo Course hutojuta