Mzumbe wasota kwa njaa baada ya boom kucheleweshwa

wanafunzi wa chuo kikuu cha mzumbe wanasota na njaa kutokana na kucheleweshewa pesa zao za chakula na maladhi....haieleweki tatizo litaisha lini

Acha tu wacheleweshewe hizo pesa za maladhi

Matokeo yametoka?
 
chuo cha kipuuzi sana icho, mkijaribu kuforce jamaa wanamkwara sana. mambo ya kufukuzwa chuo kwa zengwe ni kawaida
 
wanafunzi wa chuo kikuu cha mzumbe wanasota na njaa kutokana na kucheleweshewa pesa zao za chakula na maladhi....haieleweki tatizo litaisha lini
Sio SUA tu, hata MUHAS boom limechelewa, na wametuambia wataliingiza wiki ya kuanzia tarehe 18 mwezi huu....kwahiyo tuwe wavumilivu tu.
 
chuo cha kipuuzi sana icho, mkijaribu kuforce jamaa wanamkwara sana. mambo ya kufukuzwa chuo kwa zengwe ni kawaida
Kama bado hawajaletewa na heslb sasa utaforce kitu gani kama sio kujitakia matatizo?
 
Back
Top Bottom