Recent content by Junior Clinton Mr.

  1. Junior Clinton Mr.

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mungu aingilie Kati. Mwili na Akili vyote vimechoka! Ngoja tuone Round Hii
  2. Junior Clinton Mr.

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Aisee nikafkiri Wameifuta! Maana Kulikua na Nyingine ya Mwezi wa 10 mwaka jana cha ajabu ya mwezi wa 10 ilianza hii ikabaki. Mkuu nipe za Ndani zaidi
  3. Junior Clinton Mr.

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nimebaki na Received Moja ya Tangu mwezi wa 8 mwaka Jana. MDA&LGA Afisa Hesabu
  4. Junior Clinton Mr.

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mkuu Hongera Sana Umepambana hadi Tone la Mwisho
  5. Junior Clinton Mr.

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hapana hata sisi ambao Hatujapata Placement bado Pako vilevile. Nafkiri labda wanaendelea Ku update.
  6. Junior Clinton Mr.

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    STM 001 Bado Msemaji wa Walamba Asali hajatoa Neno. Tuendelee kusubiri
  7. Junior Clinton Mr.

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kaka Uko api? Tusaidie Wanao! Giza ni Kuu
  8. Junior Clinton Mr.

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Aisee Mkuu Hongera sana, Nakumbuka Nilifanya Written Nikapata Above 50 lakini cutting Point yao ilikua nafkri juu ya 60. Nikapata ya Accounts Officer II. Ndio tunaendelea kufuatilia PDF. Hongera sana
  9. Junior Clinton Mr.

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nimeona Amechaguliwa Vituo viwili tofauti🙌
  10. Junior Clinton Mr.

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nimeona kuna mtu amelalamika jina Limerudiwa. Liko katika PDF mbili tofauti za tarehe tofauti
  11. Junior Clinton Mr.

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Alifanya Lini interview? au Alikua kwenye Database?
  12. Junior Clinton Mr.

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hizi nafasi 224 interview yake imefanyika April 15 Mwaka Huu. Mikeka Inaruka Hii tarehe isipokua Mkeka mmoja tu. Tena ulitoa Mtu mmoja
  13. Junior Clinton Mr.

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Lakini wanaita kwa interview zilizofanyika mwaka Jana Nafkiri Plus Database Mwaka Huu hawajagusa kabisa.
  14. Junior Clinton Mr.

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tarehe 15 April ndio Oral za Uhasibu zilimalizika
  15. Junior Clinton Mr.

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Waliofanya Oral April 15 Naona Mambo Bado Bado Kidogo.
Back
Top Bottom