For sure, Jamaa yangu alikata tamaa kabisa ila Jana kapata, soon wengi tutaleta shuhuda hapaTutapata tu one day ni jambo la kuendelea kusubiri
For sure, Jamaa yangu alikata tamaa kabisa ila Jana kapata, soon wengi tutaleta shuhuda hapaTutapata tu one day ni jambo la kuendelea kusubiri
Kweli aisee Ni swala la Muda tuFor sure, Jamaa yangu alikata tamaa kabisa ila Jana kapata, soon wengi tutaleta shuhuda hapa
kama wamekuwekea option ya kuapdate jaribu kuapdateDah Mimi nimelokiwa eti wrong password
Alifanya Lini interview? au Alikua kwenye Database?For sure, Jamaa yangu alikata tamaa kabisa ila Jana kapata, soon wengi tutaleta shuhuda hapa
Tulifanya nae oral tarehe 15 April 2026 na Ndio oral interview yake ya kwanzaAlifanya Lini interview? au Alikua kwenye Database?
Kama zipi?Nilichojifunza kuna kazi nyingi ambazo watu wa humu na hata waliopo kwenye mfumo hawazijui na sijawahi kusikia zikitangazwa ila wapo watu wanazifanya nchi hii hii.
Kabisa aisehpdf za siku hizi angalau zinakuja zimeshiba mtu unascroll mpaka vidole vinauma
Hongera zake. Na sisi siku yetu ipo ma jobless tuliobaki Mungu akipendaJana leo wametoa placement nyingi sana, mimi sijapata ila jobless mwenzangu kapata accounts officer Jana
Oral moja tu na placement hapo hapo. Kuna watu Wana bahati zao aiseTulifanya nae oral tarehe 15 April 2026 na Ndio oral interview yake ya kwanza
Kama wenye ajira zao hawajaona haja ya kuziweka wazi sidhani kama ni sahihi mimi kufanya hivyo.Kama zipi?
Oral moja tu na placement hapo hapo. Kuna watu Wana bahati zao aiseH
Usikate tamaa mkuu ipo siku utakuja kutoa ushuhuda humu, hata mimi nimefanya oral moja tu na placement nimeipata ndani ya mwezi mmojaOral moja tu na placement hapo hapo. Kuna watu Wana bahati zao aise
mkuu tupe za ndani watu wametumiwa barua ninChungulieni account zenu kuna pdf limeshaanza kupikwa, baadae linatoka
kweli aiseeWadogo zangu Kipindi mnahangaika kutafuta ajira msisahau mwisho unatakiwa kuwaza at least uwe na financial freedom....Usiangalie Leo kuwa umepata Tu kazi, angalieni miaka ya mbele kama Kumi hivi unataka uwe wapi, zipo kazi au sehemu Serikalini ukiendelea kuzifanya maisha yako yote hazitakupeleka kokote...ombeni na fanyeni kazi Kwa malengo.
Kuna pdf nimeliona kwenye page yao ya Facebookmkuu tupe za ndani watu wametumiwa barua nin
Yah la leo hili, waendelee na speed hii labda tutatoboaKuna pdf nimeliona kwenye page yao ya Facebook