HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu hivi kama sekretarieti walitangaza nafasi 100 alafu wakaita watu wakafika 100 kuna uwezekano wakaendelea kuongeza wengine?
Ndio, katika hao 100 kuna wengi huwa hawa report ndani ya siku 14, mimi nilihesabu post mpaka 102 zikaisha post walizotangazq nikakata tamaa, ila mpaka sasa wameita zimefika 130 na mimi nimepita, usivunjike moyo
 
Kuna pdf lingine linapikwa huko either

Shukrani sana mbet mkeka wetu, hili la sasa hivi wamenikumbuka 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Aisee Mkuu Hongera sana, Nakumbuka Nilifanya Written Nikapata Above 50 lakini cutting Point yao ilikua nafkri juu ya 60. Nikapata ya Accounts Officer II. Ndio tunaendelea kufuatilia PDF. Hongera sana
 
Back
Top Bottom