Recent content by junichiro

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

    Miguu ka'a miti ya genge lol Komwe kama kibanda cha utumbo
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya leo asubuhi Dar es salaam

    Signs zipi zingekujulisha kuwa alikua hai wakati anaungua?? Fuvu lilikuwapo hapo kwenye kiti chake na namna gari ilivokaa asingeweza fungua mlango wake hata kama alikua hai.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya leo asubuhi Dar es salaam

    Jamaa kaisha kwa moto mpaka kichwa kimepasuka,nimeshuhudia pia wakati inawaka mpaka ilipozimwa. So sad
  4. J

    JamiiForums Tanzania Huu ni ulemavu au makusudi

    Pia wanatamka "dha" badala ya "tha" kwa mfano thabiti wanasema dhabiti, hasa wasomaji wa matangazo
  5. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhisu mafunzo ya JKT kwani siyaelewielewi

    Proud though!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhisu mafunzo ya JKT kwani siyaelewielewi

    Ivi na wahindi/Waarabu nao wapo huko jkt??
  7. J

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kinyerezi labomoka

    Pengine alikua anaenda kushusha gunia mbili za mkaa nyumbani kwake,maana wenzetu hao nao kwa mbwembwe!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Shirika la habari BBC linapromoti ushoga

    Hapa kwenye thread tu wapo wanaousapoti uchoko,nini bbc! Shame on u…hakuna siku usen'ge utakuwa kitu cha kawaida, ptuuuu!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kuazima gari ni ustaarabu?

    Penda gari yako kama MKEO vile! ukiweza azimisha, poa tu.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kukojoa na mate vina uhusiano gani?

    Wengine wanaj@mba kwanza afu ndo wateme hayo mate! LoL
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wetu hawawi wazalendo?Walionunua UDA Wafilisiwe na kushitakiwa!

    ------ nae anahusika tu,hawezi kukali kimya madudu hayo,pengine yake ndomana jamaa "hawajui" ni ya nani.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Bwana Magesa akiwa na mtoto wake

    Na mama yake chatu tumwone hapa kwa anayemjua!
  13. J

    JamiiForums Tanzania CCM tusiende tena kwenye Midahalo

    Ina maana Vuai hata iyo gugo haijui akapata facts??
  14. J

    JamiiForums Tanzania AIRTEL, VODA Mkome kudhalilisha dada zetu..!

    Hujawaza mmachinga wale wanaouza vitu humo humo kwenye mataa,kama ni vumbi mbona hukuwataja wamama wanaofagia barabara manispaa inawadhalilisha!? Kwa muono wako unaona wanadhalilika wakati wenzako wapo kazini,kuza akili zako!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Thomas - Kimara bucha

    Hapa si yangejadiliwa majina ya vituo vyote sasa!!
Back
Top Bottom