Naomba kuuliza kuhisu mafunzo ya JKT kwani siyaelewielewi

Mapolomoko

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
1,751
417
Huu mpango wa vijana ote wanao taka kuingia vyuo vikuu mbona haufuati utaratibu wa kijeshi? ninamaanisha kupima afya ya mlengwa kabura ya kuanza mafunzo, nasema haya ni kutokana na maelezo ya jeshi lenyewe kuwa binti aliye kufa amekufa kutokana na upungufu wa damu ambao ni tatizo lake la sikunyingi. sasa kunahajagani ya kupokea wagonjwa na kuwapa mafunzo mazito kama hayo? kwani hata wao asikari akiwa mgonjwa haruhusiwi kwenda Depo pia hata Gereza halipokei mahabusu akiwa mgonjwa sasa iweje kwa Jeshi lipokee wagonjwa?
 
Acha kumbwela kijana!!!!
 
Hv usipoenda jkt chuo huchaguliwi? Au mkopo hupati? Naomba kujuzwa hv na wale watoto wa saint nao wanaenda huku?
 
Huu mpango wa vijana ote wanao taka
kuingia vyuo vikuu mbona haufuati
utaratibu wa kijeshi? ninamaanisha
kupima afya ya mlengwa kabura ya
kuanza mafunzo, nasema haya

Jifunze kuandika kwanza .
 
Huu mpango wa vijana ote wanao taka
kuingia vyuo vikuu mbona haufuati
utaratibu wa kijeshi? ninamaanisha
kupima afya ya mlengwa kabura ya
kuanza mafunzo, nasema haya

Jifunze kuandika kwanza .

hapo nimechora?
 
Acha woga kijana miezi mitatu inakutisha hadi unashindwa kuandika. Siku yako ikifika utakufa tu, kwani uraiani wote wanaokufa ni wagonjwa.
 
Back
Top Bottom