BABU CHONDO
JF-Expert Member
- Jun 6, 2011
- 855
- 139
Hii ni zaidi ya hasara,moja kwa serikali pili kwa watumiaji wa njia hii,unadhani ni hasara kiasi gani watakuwa wamepata ama ni adha ipi itakuwa imetokea!?
Watu kama hawa ni wazembe wanachotakiwa sasa ni kulipa matengenezo ya hilo daraja haraka iwezekanavyo iwe kwa kukopa ama kufilisika,huwezi kupitisha uzito huo kwenye daraja kama hilo ninalifahamu vizuri kwakuwa ni la muda na bila shaka na vibao vipi na wakandarasi wapo kwenye site pia ,
Tupite wapi kesho kwenda kwenye shughuli zetu muda huu wenyewe bado ni usumbufu.