Recent content by Jumbe Adarusi

  1. Jumbe Adarusi

    JamiiForums Tanzania Mechi ya leo ,ni kielelezo cha kiwango cha soka cha Tanzania!

    Zile penalties mbili refa ameng'ata filimbi hujaona? Mzamiru na ajibu
  2. Jumbe Adarusi

    JamiiForums Tanzania Usafiri Arusha Shinyanga

    Subiri Ally's inatoka Tanga kwenda Shinyanga via Arusha.. Au Freys
  3. Jumbe Adarusi

    JamiiForums Tanzania Al Qaswus Hivi Ni Kinywaji Cha Aina Gani Na Husaidia Nini Mwilini Wakuu...?

    Kahawa ni sehemu katika ingredients
  4. Jumbe Adarusi

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Saudi Arabia Kitovu cha Ugaidi Duniani

    We itakua خارج tu
  5. Jumbe Adarusi

    JamiiForums Tanzania Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

    Yah ni juhudi za jemedari wetu dr. John Magufuli
  6. Jumbe Adarusi

    JamiiForums Tanzania Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

    Ni kweli kuwa kuna mkoa mpya unataka uanzishwe wa korogwe? Izi tetesi zimeenea sana hasa baada ya kufunguliwa stand kubwa ya mabasi korogwe (kilole).. Ni kweli hii.. Anaejua atueleze
  7. Jumbe Adarusi

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi za afisa maendeleo ya jamii

    Hats degree pia.. Ward Executive II
  8. Jumbe Adarusi

    JamiiForums Tanzania Je, adhana na kengele bado vinahitajika tena kuitana misikitini na makanisani kusali?

    Aya ya 9 suratul jumua (يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِذَا نُودِيَ لِلصَّلَاةِ مِنْ يَوْمِ الْجُمُعَةِ فَاسْعَوْا إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّهِ وَذَرُوا الْبَيْعَ ۚ ذَٰلِكُمْ خَيْرٌ لَكُمْ إِنْ كُنْتُمْ تَعْلَمُونَ) [Surat Al-Jumu'ah 9]
  9. Jumbe Adarusi

    JamiiForums Tanzania Je, adhana na kengele bado vinahitajika tena kuitana misikitini na makanisani kusali?

    Kwa waislam adhana ni sehem ya ibada ya swala. Bila ya adhana hakuna swala! Kuna mafundisho yamekuja kutoka katika hadyth za Mtume (alayh swalatu was salaam) juu ya faida ya kusikiliza na maneno anayotakiwa kusema pindi inapotolewa adhana! Hii inaongeza fadhla kwa anetoa na anaejibu adhana...
  10. Jumbe Adarusi

    JamiiForums Tanzania Je, mnajua ni kosa kwa watu binafsi kukopeshana kwa riba?

    Bank ya kiislam ni ipi
  11. Jumbe Adarusi

    JamiiForums Tanzania Tanga Mjini na Morogoro Mjini zimesinyaa sana

    Baiskeli ni usafiri wa starehe sana.. we hujui tu. Sass unatoka chuda unaenda tawakal kula tendesheki gari la nini.. uko ndani ya saruni/msuli wako na sehewa yako unakunywa tendesheki bardiii
  12. Jumbe Adarusi

    JamiiForums Tanzania Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

    Nzuri sana hizi
  13. Jumbe Adarusi

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna tatizo kubwa la mitandao ya simu

    Critical thinking
  14. Jumbe Adarusi

    JamiiForums Tanzania Upi mkoa wa ndoto za maisha yako?

    The civilized city, Tanga.
Back
Top Bottom